Catherine Ruge : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Catherine Ruge''' (Alizaliwaalizaliwa [[Juni 25]], [[1982.]])<ref>http://www.mwananchi.co.tz/habari/Mbunge-mpya-Chadema-azungumzia-mikakati-yake/1597578-3916058-ohyr2mz/index.html</ref>.Ni ni [[mbunge]] wa [[viti maalumu]] kwa tiketi ya [[Chama cha kisiasa|chama cha]] [[CHADEMA]] akichukua nafasi iliyoachwa wazi na marehemu Dr. Macha aliyefariki dunia Marchi[[21 21Machi]] [[2017]].<ref>https://www.ippmedia.com/sw/habari/ruge-ateuliwa-kuwa-mbunge</ref>.
 
==Elimu==
Alisoma Shule ya Sekondari Msalato mkoani Dodoma kuanzia mwaka 2001 hadi 2003. Baadaye alisoma Jangwani kuanzia Juni 2001 hadi Mei 2003 na kuhitimu elimu ya juu ya sekondari. Alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mwaka 2004 hadi 2007 akisomea Shahada ya Biashara na Uhasibu. Mwaka 2011 – 2015 alisoma Shahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Biashara katika chuo cha ESAMI (Eastern and Southern Africa Management Institute). Kwa sasa anachukua masomo ya udaktari (PHD) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwenye masuala ya jinsia katika fani ya uhasibu.<ref>http://www.mwananchi.co.tz/habari/Mbunge-mpya-Chadema-azungumzia-mikakati-yake/1597578-3916058-ohyr2mz/index.html</ref>
 
==Harakati za kisiasa.==
Alijiunga na Chadema mwaka 2010 na ilipofika mwaka 2013 mwishoni alianza rasmi harakati za siasa.Alianza kwa kuogombea nafasi ya katibu wa rasilimali fedha Kanda ya Serengeti na kushinda.<ref>http://www.mwananchi.co.tz/habari/Mbunge-mpya-Chadema-azungumzia-mikakati-yake/1597578-3916058-ohyr2mz/index.html</ref>
 
Mstari 11:
 
==Marejeo==
{{reflist}}
{{BD|1982|}}
[[Jamii:Wanawake wa Tanzania]]
[[Jamii:bunge la Tanzania]]
[[Jamii:Wiki Loves Women Tanzania(2)]]