Aina za maneno : Tofauti kati ya masahihisho

d
Masahihisho aliyefanya 154.117.193.168 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya 154.117.193.168 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 16:
Nomino hufanya [[kazi]] ya kutaja [[jina]] la [[mtu]], [[kitu]] au [[mahali]]. Kwa mfano: [[baba]], [[Tanzania]], [[ugonjwa]] n.k.
====Aina za nomino====
Kuna aina nne za nomino:
* 1. nomino za kawaida. Kwa mfano: baba, [[mama]]
* 2. nomino za kipekee. Kwa mfano: Elisha, Angela, Naomi, Christopher
* 2. nomino
* 3. nomino za jamii. Kwa mfano: [[mkutano]]
* 4. nomino za dhahania. Kwa mfano: [[malaika]]
 
===Viwakilishi===
Viwakilishi ufanya kazi ya kusimama badala ya jina au nomino.
 
====Aina za viakilishi====
Kuna aina tisa za viwakilishi:
* 1. viwakilishi vya nafsi. Kwa mfano: mimi
* 2. viwakilishi vya kuonesha. Kwa mfano: wale
* 3. viwakilishi vya kumiliki. Kwa mfano: wangu
* 4. viwakilishi vya idadi. Kwa mfano: wachache
* 5. viwakilishi vya kuuliza. Kwa mfano: yupi
* 6. viwakilishi vya kipekee. Kwa mfano: mwenyewe
* 7. viwakilishi vya a-unganifu. Kwa mfano: la baba
* 8. viwakilishi vya sifa. Kwa mfano: mfupi
* 9. viwakilishi vya amba\urejeshi. Kwa mfano: ambalo
 
==Tazama pia==
*[[Lango:Lugha]]
*[[Neno]]
 
{{Aina za maneno}}
{{mbegu-lugha}}
 
[[Jamii:Isimu]]
[[Jamii:Kiswahili]]
9

edits