Mohammed Gulam Dewji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
Ukiachana na uanasiasa, ni miongoni mwa [[watu]] matajiri zaidi [[Afrika]], k.m. kwa Tanzania ni wa kwanza katika [[utajiri]].
 
Ana utajiri wa [[Dolar ya Marekani|dola]] za [[Marekani]] [[bilioni]] 1.3 unaomfanya ashike nafasi ya 1,500 [[duniani]] na ya 31 [[Bara|barani]] Afrika, [[mwaka]] 2015.
Mwaka [[2017]] [[jarida]] maarufu [[duniani]] la [[Forbes]] lilimtaja kuwa tajiri wa 17 [[Bara|barani]] Afrika.
 
==Kutekwa==
Mstari 13:
Tarehe [[15 Oktoba]] [[familia]] ilitangaza kuwa tayari kutoa [[shilingi]] [[bilioni]] [[moja]] kwa atakayetoa [[taarifa]] itakayosaidia kumpata hai [[mtoto]] wao.
 
Tarehe [[20 Oktoba]] alfajirisaa 8 [[usiku]] Dewji aliachwa huru katikati ya jiji la Dar es Salaam na watu wasiojulikana waliotumia gari lilelile lililotumika kumteka<ref>http://www.mwananchi.co.tz/habari/Hatua-kwa-hatua-kutekwa--kupatikana-Mo-Dewji/1597578-4814818-14iyv1s/index.html</ref>.
 
==ChanzoTanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
* Tovuti ya [http://www.bunge.go.tz Bunge la Tanzania]
 
{{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}}
 
{{DEFAULTSORT:Dewji, Mohammed Gulam}}