Doris Mollel : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Doris Mollel'''(1994) ni pacha wa David Mollel(Doto),walizaliwa njiti mwaka 1994 mkoani Arusha katika familia ya William Mollel(sasa ni marehemu) na mama Cel...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Doris Mollel'''(1994) ni pacha wa David Mollel(Doto),walizaliwa njiti mwaka 1994alizaliwa mkoani Arusha katikamnamo familia ya William Mollel(sasa ni marehemu[[1994]]) na mama Celine Mollel.Doris amefanikiwa kuzindua Taasisi yenye jina la Doris Foundation ambayo inakaziina kazi ya kukusanya pesa kwa ajili ya kuwasaidia watoto njiti na wasiojiweza.<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/mrembo-anayetetea-maisha-ya-watoto-njiti.aspx</ref>
 
Hii inatokana na yeye na pacha wake David Mollel (Doto) kuzaliwa njiti katika [[familia]] ya William Mollel (sasa ni [[marehemu]]) na mama Celine Mollel.
 
==Elimu yake==
Line 9 ⟶ 10:
 
==Tuzo==
Mnamo mwaka 2012 Doris alifanikiwa kutwaa taji mrembo wa utalii katika chuo cha Mwalimu Nyerere na kitu cha kwanza kufanya baada ya kuchaguliwa huko , ni kupeleka watoto yatima wa kituo cha chakuwamaChakuwama, sinzaSinza, Dar es salaamSalaam kwenda kuona vituo vya utalii mjini Bagamoyo.

Mnamo mwaka 2014 alishiriki mashindnomashindano ya mrembo wa Singida na kushinda na kazi ya kwanza kufanya kwenye jamii ni kusaidia jamii ya [[Wahadzabe]] ambapo hupeleka mahitaji kama vile vitabu na mashuka.
 
Mwaka 2013 alishiriki mashindano ya urembo wa Tabata na kuwa mrembo wa Ilala.
 
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
{{BD|1994|}}
[[Jamii: Wanawake Wa Tanzania]]
[[Jamii:Warembo wa Tanzania]]
[[Jamii: Wanawake Wawa Tanzania]]
[[jamii:Wiki Loves Women Tanzania(2)]]