Doreen Peter Noni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Doreen Peter Noni''' (amezaliwa tarehe [[10 Machi]] [[1989]]) ni mtoto[[mwanzilishi]] wana tatu[[Mkurugenzi naMtendaji]] wa mwishokituo kuzaliwacha naRadio waLake kikeFM, pekee[[Jiji|jijini]] katika[[Mwanza familia ya watoto watatu.<ref>http://makangale.blogspot.com/2014/03/kutana-na-mwanadada-mjasiriamali-doreen(mji)|Mwanza]].html</ref>
==Elimu Yake==
Alisoma shule ya awali ya Upanga. Alihamia Nairobi kuanzia darasa la sita ambapo alisoma mpaka kidato cha sita katika shule ya Brook High School huko Nairobi. Baadae alijiunga na Chuo Kikuu cha Nottingham Trent nchini Uingereza. Huko alisomea mambo ya Multimedia <ref>http://makangale.blogspot.com/2014/03/kutana-na-mwanadada-mjasiriamali-doreen.html</ref>
==Kazi Yake==
Ana uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika jukwaa la Multimedia akijihusisha haswa haswa katika uzalishaji wa televisheni na matangazo ya redio. Hivi sasa Doreen ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha radioLake FM,jijini Mwanza. Lengo lake kubwa ni kutoa mchango katika maendeleo jamii na uchumi kwa kutumia mfumo wa radio kibunifu kutatua matatizo ya kijamii yanayoshusha mapato raia wanayokutana nayo mara kwa mara.<ref>https://www.drake.edu/yali/fellows/</ref>
Doreen ana shauku ya kuwezesha vijana na ujasiriamali. Ana jihushisha na programu kadhaa ambazo zinaboresha maisha, anatumia njia bunifu kusaidia kuondoa umasikini na kupaza sauti katika masuala ambayo ni ya kawaida katika jamii kwenye kipindi chake cha redio cha Tena na Tena. Kipindi cha Tena na Tena ni kipindi cha elimu na jukwaa la msukumo linalohusisha mahojiano ya vijana. Ambapo anaongelea masuala ambayo vijana wanakutana nayo na pia kutafuta namna za jinsi ya kutatua matatizo wanayokumbana nayo. Pindi alipomaliza Mandela Fellowship, alikua na mipango ya kutengeneza ngome ya Multimedia Afrika. Anadhamiria kuanzisha kutumia Multimedia kama jukwaa la kusaidia kufungua mzunguko wa umaskini na kusaidia vijana Afrika kugundua kusudi lao duniani.<ref>https://www.drake.edu/yali/fellows/</ref>
==Marejeo==
 
==Maisha ya awali==
Doreen ni [[mtoto]] wa [[tatu]] na wa mwisho kuzaliwa na wa kike pekee katika [[familia]] ya watoto watatu.<ref>http://makangale.blogspot.com/2014/03/kutana-na-mwanadada-mjasiriamali-doreen.html</ref>
 
==Elimu Yake==
Alisoma [[shule ya awali]] ya [[Upanga]]. Alihamia [[Nairobi]] kuanzia darasa la sita ambapo alisoma mpaka kidato cha sita katika shule ya Brook High School.
 
Alisoma shule ya awali ya Upanga. Alihamia Nairobi kuanzia darasa la sita ambapo alisoma mpaka kidato cha sita katika shule ya Brook High School huko Nairobi. Baadae alijiunga na Chuo Kikuu cha Nottingham Trent nchini [[Uingereza]]. Huko alisomea mambo ya [[Multimedia]] <ref>http://makangale.blogspot.com/2014/03/kutana-na-mwanadada-mjasiriamali-doreen.html</ref>
 
==Kazi Yake==
Ana [[uzoefu]] wa zaidi ya miaka mitano katika [[jukwaa]] la Multimedia akijihusisha haswa haswa katika [[uzalishaji]] wa [[televisheni]] na matangazo ya [[redio]].
 
Ana uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika jukwaa la Multimedia akijihusisha haswa haswa katika uzalishaji wa televisheni na matangazo ya redio. Hivi sasa Doreen ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha radioLake FM,jijini Mwanza. Lengo lake kubwa ni kutoa mchango katika [[maendeleo]] ya [[jamii]] na [[uchumi]] kwa kutumia mfumo wa radio kibunifu kutatua matatizo ya kijamii yanayoshusha [[mapato]] ya [[raia]] wanayokutana nayo mara kwa mara.<ref>https://www.drake.edu/yali/fellows/</ref>
Doreen ana shauku ya kuwezesha [[vijana]] na [[ujasiriamali]].
 
Doreen ana shauku ya kuwezesha vijana na ujasiriamali. Ana jihushishaAnajihushisha na [[programu]] kadhaa ambazo zinaboresha [[maisha]], anatumia njia bunifu kusaidia kuondoa umasikini[[umaskini]] na kupaza [[sauti]] katika masuala ambayo ni ya kawaida katika jamii kwenye kipindi chake cha redio cha Tena na Tena. Kipindi cha Tena na TenaHicho ni kipindi cha [[elimu]] na jukwaa la msukumo linalohusisha mahojiano ya vijana. Ambapoambapo anaongelea masuala ambayo vijana wanakutana nayo na pia kutafuta namna za jinsi ya kutatua matatizo wanayokumbana nayo. Pindi alipomaliza Mandela Fellowship, alikua na mipango ya kutengeneza ngome ya Multimedia Afrika. Anadhamiria kuanzisha kutumia Multimedia kama jukwaa la kusaidia kufungua mzunguko wa umaskini na kusaidia vijana Afrika kugundua kusudi lao duniani.<ref>https://www.drake.edu/yali/fellows/</ref>
 
Pindi alipomaliza Mandela Fellowship, alikuwa na mipango ya kutengeneza ngome ya Multimedia Afrika. Anadhamiria kuanzisha kutumia Multimedia kama jukwaa la kusaidia kufungua mzunguko wa umaskini na kusaidia vijana wa Afrika kugundua kusudi lao [[duniani]].<ref>https://www.drake.edu/yali/fellows/</ref>
 
==Marejeo==
{{reflist}}
{{BD|1969|}}
[[Jamii:Wanawake wa Tanzania]]
[[Jamii:Wiki Loves Women Tanzania(2)]]