Golikipa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Michael Rensing goalkeeper FC Bayern Munich.jpg|thumb|242x242px|[[Michael Rensing]], golikipa wa [[Bayern Munich|FC Bayern Munich]].]]
'''Golikipa''' (kutoka [[Kiingereza]] "goalkeeper"; pia '''kipa''' tu) ni [[mtu]] ambaye hulinda [[lango la timu]]. Kuna vipaji katika [[michezo]] kama [[Mpira wa miguu|soka]] na [[hockey]].

[[Kazi]] ya kipa ni kuzuia [[timu]] pinzani kufunga [[bao]] kwa kuingiza [[mpira]] golini.
 
[[Mchezaji]] huyu huvaa kinga/''Gloves'' kwa ajili ya kujikinga na [[Mpira wa miguu|mipira]] inayomjia kwa [[kasi]].