Kitabu cha Kwanza cha Wafalme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q131066 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
 
== Historia ya kitabu ==
Zamani kilikuwa [[kitabu]] kimoja pamoja na [[Wafalme II]] lakini katika [[tafsiri]] ya [[Septuaginta]] kitabu kiligawiwa pande [[mbili]]. [[Wataalamu]] huamini hii ilitokea kutokana na [[urefu]] wa kitabu, si kwa sababu ya yaliyomo au ya mpangilio wake.
 
Zamani kilikuwa kitabu kimoja pamoja na [[Wafalme II]] lakini katika [[Septuaginta]] kitabu kiligawiwa pande mbili. Wataalamu huamini hii ilitokea kutokana na urefu wa kitabu si kwa sababu ya yaliyomo au ya mpangilio wake.
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Yaliyomo ==
Kinasimulia hasa habari za [[wafalme]] wa [[Israeli ya Kale]]. Chanzo ni habari za [[kifo]] cha mfalme [[mzee]] [[Daudi (Biblia)|Daudi]] na hasa za [[Mtoto|mwanae]] [[Solomoni]] aliyemfuata. Hapamadarakani. kunaKina pia maelezo kuhusu [[ujenzi]] wa [[hekalu la Yerusalemu]].
 
Kinachofuata ni habari za ugawaji wa [[milki]] kuwa [[madola]] mawili yaani:
Kinasimulia hasa habari za wafalme wa [[Israeli ya Kale]]. Chanzo ni habari za mfalme mzee [[Daudi (Biblia)|Daudi]] na za [[Solomoni]] aliyemfuata. Hapa kuna pia maelezo kuhusu ujenzi wa [[hekalu la Yerusalemu]].
* [[Ufalme wa Yuda]] upande wa [[kusini]] kuanzia mfalme [[Rehoboamu]], mtoto wa Solomoni
 
* [[Ufalme wa IsraelIsraeli]] upande wa [[kaskazini]] kuanzia mfalme [[Yeroboamu]] hadi mfalme [[Ahabu]].
Kinachofuata ni habari za ugawaji wa milki kuwa madola mawili yaani:
* [[Ufalme wa Yuda]] upande wa kusini kuanzia mfalme [[Rehoboamu]] mtoto wa Solomoni
* [[Ufalme wa Israel]] upande wa kaskazini kuanzia mfalme [[Yeroboamu]] hadi mfalme [[Ahabu]].
 
Habari za [[nabii Eliya]] na [[nabii Elisha]] pia zinapatikana humo.
 
Kati ya masimulizi mashuhuri sana ya kitabu hiki ni hukumu yaaliyotoa Suleimani kuhusu [[Kahaba|makahaba]] wawili kugombania mtoto mchanga (Wafalme I 3, 16-27).
 
== Viungo vya nje ==
 
* [http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/1King/ Kitabu cha Kwanza cha Wafalme katika Biblia (Union Version)]
{{Biblia AK}}
 
{{DEFAULTSORT:Wafalme I}}
[[Jamii:Vitabu vya Agano la Kale]]
 
{{Biblia AK}}
 
[[Picha:[[Picha:Mfano.jpg]]]]