Kitabu cha Pili cha Wafalme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 28 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q209746 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
 
==Historia ya kitabu==
Zamani kilikuwa kitabu kimoja pamoja na [[Wafalme I]] lakini katika [[tafsiri]] ya [[Septuaginta]] viligawiwakiligawiwa. [[Wataalamu]] huamini hii ilitokea kutokanailitokana na [[urefu]] wa kitabu ,si kwa sababu za yaliyomo au mpangilio.
 
Zamani kilikuwa kitabu kimoja pamoja na [[Wafalme I]] lakini katika [[Septuaginta]] viligawiwa. Wataalamu huamini hii ilitokea kutokana na urefu wa kitabu si kwa sababu za yaliyomo au mpangilio.
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Yaliyomo==
Kinasimulia habari za sehemu mbili za [[Israel ya Kale]] baada ya ugawaji wa [[milki]] yaani
 
*[[Ufalme wa Israeli]] katika [[kaskazini]] kuanzia [[mfalme]] [[Ahazia]] hadi mwisho wake wakati wa mfalme [[Hoshea]] na kuchukuliwa [[Utumwa|utumwani]] kwa [[Kabila|makabila]] ya kaskazini na [[Waashuri]].
Kinasimulia habari za sehemu mbili za [[Israel ya Kale]] baada ya ugawaji wa milki yaani
*[[Ufalme wa IsraelYuda]] katika kaskazini[[kusini]] kuanzia mfalme [[Ahazia]] hadi mwishomaangamizi wake wakati wa mfalmeya [[HosheaYerusalemu]] na kuchukuliwa[[uhamisho utumwaniwa kwa makabila ya kaskazini na [[WaashuriBabeli]].
*[[Ufalme wa Yuda]] katika kusini kuanzia mfalme [[Hiskia]] hadi maangamizi ya [[Yerusalemu]] na uhamisho wa [[Babeli]].
 
==Viungo vya nje==
 
*[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/2King/ Kitabu cha Pili cha Wafalme katika Biblia (Union Version)]
{{Biblia AK}}
 
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]
 
{{Biblia AK}}