Shanghai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ru}} (2) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Pudong night 01.jpg|thumb|300px|Kitovu kipya cha Shanghai wakati wa usiku.]]
'''Shanghai''' ni [[mji]] mkubwa kuliko yote nchini [[China]] mwenyewenye wakazi [[milioni]] 14 naambao pamoja na [[rundiko la jiji]] ni takriban milioni 20. Iko [[Mdomo|mdomoni]] wamwa [[mto Yangtze]].
 
Katika [[historia]] ilikuwa [[bandari]] muhimu. Wakati wa [[karne ya 19]] China ililazimishwa na [[Uingereza]] kukubali Shanghai kamaiwe bandari kwa [[meli]] za nje na [[biashara ya kimataifa]]. Kwa njia hiyo ilikuwa [[geti]] yala China kwa [[dunia]] ikaanza kukua sana. Wiangereza[[Waingereza]], [[Wajapani]] na [[Wamarekani]] wote walipewa maeneo yao walipukuwawalipokuwa na [[mamlaka]]. Maeneo hayahayo yote yaliunganishwa kama [[mtaa]] wa kimataifa wa Shanghai.
'''Shanghai''' ni mji mkubwa nchini [[China]] mwenye wakazi milioni 14 na pamoja na rundiko la jiji ni takriban milioni 20. Iko mdomoni wa [[mto Yangtze]].
 
Tangu [[mwaka]] [[1949]] mji uliunganishwa baada ya [[mapinduzi ya kikomunisti]] yaliyotangaza mwisho wa mtaa wa kimataifa. Maendleo[[Maendeleo]] ya mji yalikwama hadi [[miaka ya 1980]] China ilipoamua kujiunga tena na [[uchumi]] wa kimataifa na Shanghai ikawa kitochu[[kitovu]] cha [[biashara]] hii na kuzidi kukua haraka.
Katika historia ilikuwa bandari muhimu. Wakati wa karne ya 19 China ililazimishwa na Uingereza kukubali Shanghai kama bandari kwa meli za nje na biashara ya kimataifa. Kwa njia ilikuwa geti ya China kwa dunia ikaanza kukua sana. Wiangereza, Wajapani na Wamarekani wote walipewa maeneo yao walipukuwa na mamlaka. Maeneo haya yote yaliunganishwa kama mtaa wa kimataifa wa Shanghai.
 
Tangu 1949 mji uliunganishwa baada ya mapinduzi ya kikomunisti yaliyotangaza mwisho wa mtaa wa kimataifa. Maendleo ya mji yalikwama hadi miaka ya 1980 China ilipoamua kujiunga tena na uchumi wa kimataifa na Shanghai ikawa kitochu cha biashara hii.
 
Mji ulizidi kukua haraka
 
{{mbegu-jio-China}}