Filamu za Hood : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
'''Filamu za Hood''' (kutoka [[
Mfano halisi wa filamu za aina hii ni kama vile ''[[Boyz n the Hood]]'' na ''[[Menace II Society]]'', ambazo mtindo wake wa [[hadithi]] almanusura iupe umaarufu kupindukia mchezo huu. Mwanzoni mwa miaka ya 1996, lakini, filamu za
Mtindo huu pia ulikuja kugezewa tena na filamu kama vile ''[[Don't Be a Menace to South Central While Drinking Your Juice in the Hood]]''.
Filamu za Kiingereza za mtindo huu nazo zilipata kufanywa, kama vile ''[[Bullet Boy]]''. Filamu za [[Kifaranza]] za mtindo huo nazo zimefanya, ''[[La Haine]]'', ''[[Ma 6-T va crack-er]]'', ''[[Yamakasi]]'' na ''[[Banlieue 13]]'' nazo ni mifano ya mtindo huu.
[[John Singleton]], [[Mario Van Peebles]], [[Hughes Brothers]], na [[Spike Lee]] ni mifano tosha ya [[waongozaji wa filamu]] za namna hii.
[[Insha]] kadha wa kadha ziliandikwa kuhusu mtindo huu na Paula J. Massood, ambaye kwa sasa ni [[mwalimu]] katika [[Brooklyn College]].<ref name="Forman">{{cite book
|title=The 'Hood Comes First: race, space, and place in rap and hip-hop
|author=Murray Forman
|year=2002
|publisher=[[Wesleyan University]] Press}}</ref>
Mwaka wa 1992 insha kuhusu masuala ya uigizaji wa [[sinema]], |url=http://books.google.com/books?vid=ISBN0802093884&id=S04JUEA3FnsC&pg=PA247&lpg=PA247&ots=46rh9mgpWM&dq=hood.film&sig=8YgAp-tKRCranf7nJWzzG5Iv1Wg#PPA247,M1
|title=Working on Screen: Representations of the Working Class in Canadian Cinema
Line 82 ⟶ 84:
*[http://www.findarticles.com/p/articles/mi_m2838/is_2_35/ai_77828281 Which Way to the Promised Land?: Spike Lee's Clockers and the Legacy of the African American City], Paula J. Massood, ''African American Review'', Summer 2001
*[http://www.blackfilm.com/20060428/features/loweringthebar.shtml Lowering the bar: State of black film at the moment], by the Unknown Film Critic; defines hood film as one of three predominant subgenres of African-American film
{{mbegu-filamu}}
[[Jamii:Filamu za Hood]]
[[Jamii:
|