Kitabu cha Pili cha Wafalme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitabu cha pili cha Wafalme''' ni sehemu ya [[Tanakh]] ([[Biblia ya Kiebrania]] na ya [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. Hugawiwa kwakatika [[sura]] 25.
 
==Historia ya kitabu==
Zamani kilikuwa kitabu kimoja na [[Wafalme I]] lakini katika [[tafsiri]] ya [[Septuaginta]] kiligawiwa. [[Wataalamu]] huamini hii ilitokana na [[urefu]] wa kitabu , si kwa sababu za yaliyomo au mpangilio.
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].