Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 69:
'''Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro''' ('''Kilimanjaro International Airport - KIA''') unahudumia eneo la [[mlima Kilimanjaro]] pamoja na miji ya [[Moshi (mji)|Moshi]] na [[Arusha (mji)|Arusha]] katika [[Tanzania]] ya kaskazini. .
 
Ni uwanja mdogo unaofikiwa zaidi na ndege za nchini Tanzania. Makampuni ya kimataifa yanayohudumia KIA ni hasa [[KLM]] kutoka [[Amsterdam]], [[Ethiopian Airlines]] kutoka [[Addis Abbaba]], Kenya Airways ya Kenya, Airkenya Express, Qatar Airways, Condor Flugdienst, RwandAir na Turkish Airlines
 
Mwaka 2004 abiria 294.750 walitumia uwanja huu. Hivyo ulikuwa uwanja wa ndege wa pili katika Tanzania baada ya [[Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Kambarage Nyerere|uwanja wa Dar es Salaam]].