Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 69:
'''Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro''' ('''Kilimanjaro International Airport - KIA''') unahudumia eneo la [[mlima Kilimanjaro]] pamoja na miji ya [[Moshi (mji)|Moshi]] na [[Arusha (mji)|Arusha]] katika [[Tanzania]] ya kaskazini. .
Ni uwanja mdogo unaofikiwa zaidi na ndege za nchini Tanzania. Makampuni ya kimataifa yanayohudumia KIA ni hasa [[KLM]] kutoka [[Amsterdam]], [[Ethiopian Airlines]] kutoka [[Addis
Mwaka [[2004]] [[abiria]] 294.750 walitumia uwanja huu. Hivyo ulikuwa uwanja wa ndege wa pili katika Tanzania baada ya [[Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Kambarage Nyerere|uwanja wa Dar es Salaam]].
==Makampuni ya ndege na vifiko==
|