Cannabidiol : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 30:
Kuna wale wanaotumia kemia kukuza mimea ya hemp na cannabis ambayo hutoa cbd oil. Hili halifai kwa sababu huenda ukadhuru afya yako ukitumia cannabidiol iliyokuzwa kwa njia hii.
 
=== Njia ya kudondoa cannabidiol kutoka kwa mmea ===
Muundo wa kudondoa cannabidiol kutokana na mmea una maana sana. Kampuni nyingi zatumia njia hafifu kwa kutumia kemia zenye madhara kama vile propane, pentane na butane ambazo zinaweza kuwaka (flammable). Shirika la Constance Theraupetics <ref>[https://www.constancetherapeutics.com/home]</ref> limedai kuwa utumizi wa kemia kama hizi huacha chemchemi mbovu mwilini ambazo zaweza kudhuru afya ya mtu.
 
=== Viungo vya cbd oil ===
Huenda cbd oil unayotumia ikawekwa viungo vingine visivyo sawa na mwili wako. Yafaa basi uangalie viungo hivyo kwa makini usije ukadhurika. Royal CBD wanasemainasema kuwa yafaa pia cannabidiol ipitishwe kwakatika maabara ili unapotumia, uwe unajua fika ni nini kilichokokilichomo kwakatika ile cbd oil unayotumia.
 
== Viungo vya Njenje ==
*[[:en:Cannabidiol|Cannabidiol]]
*[http://hosiped.com/cbd-oil-and-parkinsons-tremors/ CBD and Parkinson's tremors]
*[https://royalcbd.com/ Royal CBD]
*[https://www.fda.gov/newsevents/newsroom/pressannouncements/ucm611047.htm Statement by FDA Commissioner Scott Gottlieb, M.D., on the importance of conducting proper research to prove safe and effective medical uses for the active chemicals in marijuana and its components]
{{mbegu-tiba}}