Doris Mollel : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Doris Mollel''' (alizaliwa mkoani Arusha mnamo [[1994]]) amefanikiwani kuzinduamwanalimbwende Taasisi,mwanzilishi yenyena jinaMkurugenzi lawa Taasisi ya [[Doris Foundation]] ambayoinayojihusisha inana kaziukusanyaji yawa kukusanya pesafedha kwa ajili ya kuwasaidia watoto njiti na wasiojiweza.[[Njiti]]<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/mrembo-anayetetea-maisha-ya-watoto-njiti.aspx</ref>
==Maisha yake==
 
Doris alizaliwa mtoto [[Njiti]] wakiwa mapacha,wakiwa ni wa kwanza kuzaliwa katika [[familia]] ya watoto watatu ya William Mollel(Marehemu) na Mama Celine Mollel.Amekuwa akijibidhiisha kutoa misaada kwa jamii kupitia taasisi yake ya Doris Foundation,misaada hiyo ni pamoja na kutoa [[vitabu]] kwa shule mbalimbali za [[msingi]]<ref>http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/taasisi-ya-doris-mollel-yapokea-vitabu-zaidi-ya-200-kutoka-mak-solutions</ref> lakini pia kusaidia upatikanaji wa mahitaji muhimu kwa ajili ya watoto [[Watoto Njiti]] kama vile, [[Mashine]] za [[Oxygen]] na za kunyonyea uchafu kutoka kwa Watoto [[Njiti]]<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/mrembo-anayetetea-maisha-ya-watoto-njiti.aspx</ref> lakini pia kuwasaidia wazazi wa watoto hawa pale msaada unapohitajika<ref>https://issamichuzi.blogspot.com/2016/11/taasisi-ya-doris-mollel-ya-yatoa.html</ref>
Hii inatokana na yeye na pacha wake David Mollel (Doto) kuzaliwa njiti katika [[familia]] ya William Mollel (sasa ni [[marehemu]]) na mama Celine Mollel.
 
==Elimu yake==
ElimuMwaka yake2011 yaalihitimu sekondarikidato alisomacha sita katika shule ya sekondari umoja,mnamo mwaka 2011 alimaliza elimu yake ya sekondari.na Mwaka 2012 alijiunga na [[chuo kikuu]] cha Mwalimu Nyerere,Dar es salaam.Mwakaambapo 2017alikuwa alipataakisomea [[shahada]] ya rasilimaliSiasa watuna katikaUsimamizi chuowa chaMaendeleo Mzumbeya Jamii.<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/mrembo-anayetetea-maisha-ya-watoto-njiti.aspx</ref>
 
==Kazi yake==
Mstari 10:
 
==Tuzo==
Mnamo mwaka 2012 Doris alifanikiwa kutwaa taji mrembo wa utalii katika chuo cha Mwalimu Nyerere na kitu cha kwanza kufanya baada ya kuchaguliwa huko, ni kupeleka watoto yatima wa kituo cha Chakuwama, Sinza, Dar es Salaam kwenda kuona vituo vya utalii mjini Bagamoyo.mwaka 2013 aliweza kushinda katika mashindano ya Urembo ya REDDS MISS ILALA 2013<ref>http://mrokim.blogspot.com/2013/08/dorice-mollel-ndiye-redds-miss-ilala.html</ref>
Mnamo mwaka 2014 alishiriki mashindano ya mrembo wa Singida na kutwaa taji la Miss Singida 2014<ref>http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/doris-mole-23-atwaa-taji-la-miss-singida-2014-apewa-kitita-cha-shilingi-laki-tano</ref>
 
Mnamo mwaka 2014 alishiriki mashindano ya mrembo wa Singida na kushinda na kazi ya kwanza kufanya kwenye jamii ni kusaidia jamii ya [[Wahadzabe]] ambapo hupeleka mahitaji kama vile vitabu na mashuka.
 
Mwaka 2013 alishiriki mashindano ya urembo wa Tabata na kuwa mrembo wa Ilala.
 
==Marejeo==