Tofauti kati ya marekesbisho "Doris Mollel"

16 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
'''Doris Mollel''' (alizaliwa mkoani Arusha mnamo [[1994]]) ni mwanalimbwende ,mwanzilishiMwanzilishi na Mkurugenzi wa Taasisi ya [[Doris Foundation]] inayojihusisha na ukusanyaji wa fedha kwa ajili ya kuwasaidia watoto [[Njiti]]<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/mrembo-anayetetea-maisha-ya-watoto-njiti.aspx</ref>
==Maisha yake==
Doris alizaliwa mtoto [[Njiti]] wakiwa mapacha,wakiwa ni wa kwanza kuzaliwa katika [[familia]] ya watoto watatu ya William Mollel(Marehemu) na Mama Celine Mollel.Amekuwa akijibidhiisha kutoa misaada kwa jamii kupitia taasisi yake ya Doris Foundation,misaada hiyo ni pamoja na kutoa [[vitabu]] kwa shule mbalimbali za [[msingi]]<ref>http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/taasisi-ya-doris-mollel-yapokea-vitabu-zaidi-ya-200-kutoka-mak-solutions</ref> lakini pia kusaidia upatikanaji wa mahitaji muhimu kwa ajili ya watoto [[Njiti]] kama vile, [[Mashine]] za [[Oxygen]] na za kunyonyea uchafu kutoka kwa Watoto [[Njiti]]<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/mrembo-anayetetea-maisha-ya-watoto-njiti.aspx</ref> lakini pia kuwasaidia wazazi wa watoto hawa pale msaada unapohitajika<ref>https://issamichuzi.blogspot.com/2016/11/taasisi-ya-doris-mollel-ya-yatoa.html</ref>