Doris Mollel : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Doris Mollel''' (alizaliwa mkoani Arusha mnamo [[1994]]) ni Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Taasisi ya [[Doris Foundation]] inayojihusisha na ukusanyaji wa fedha kwa ajili ya kuwasaidia watoto [[Njiti]]<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/mrembo-anayetetea-maisha-ya-watoto-njiti.aspx</ref>
==Maisha yake==
Doris alizaliwa mtoto [[Njiti]] wakiwa mapacha,wakiwa ni wa kwanza kuzaliwa katika [[familia]] ya watoto watatu ya William Mollel (Marehemu) na Mama Celine Mollel. Amekuwa akijibidhiishaakijibidiisha kutoa misaada kwa jamii kupitia taasisi yake ya Doris Foundation, misaada hiyo ni pamoja na kutoa [[vitabu]] kwa shule mbalimbali za [[msingi]]<ref>http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/taasisi-ya-doris-mollel-yapokea-vitabu-zaidi-ya-200-kutoka-mak-solutions</ref> lakini pia kusaidia upatikanaji wa mahitaji muhimu kwa ajili ya watoto [[Njiti]] kama vile, [[Mashine]] za [[OxygenOksijeni]] na za kunyonyea uchafu kutoka kwa Watotowatoto [[Njiti]]<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/mrembo-anayetetea-maisha-ya-watoto-njiti.aspx</ref> lakini pia kuwasaidia wazazi wa watoto hawa pale msaada unapohitajika<ref>https://issamichuzi.blogspot.com/2016/11/taasisi-ya-doris-mollel-ya-yatoa.html</ref>
 
==Elimu yake==
Mwaka 2011 alihitimu kidato cha sita katika shule ya sekondari umoja,ya Umoja na Mwaka 2012 alijiunga na [[chuo kikuu]] cha Mwalimu Nyerere ambapo alikuwa akisomea [[shahada]] ya Siasa na Usimamizi wa Maendeleo ya Jamii.<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/mrembo-anayetetea-maisha-ya-watoto-njiti.aspx</ref>
 
==Kazi yake==
Mnamo mwaka 2015 Doris foundationFoundation ilizinduliwa rasmi na Doris akiwa mkurugenzi wa Taasisitaasisi.
 
==Tuzo==
Mnamo mwaka 2012 Doris alifanikiwa kutwaa taji mrembo wa utalii katika chuo cha Mwalimu Nyerere na kitu cha kwanza kufanya baada ya kuchaguliwa huko, ni kupeleka watoto yatima wa kituo cha Chakuwama, Sinza, Dar es Salaam kwenda kuona vituo vya utalii mjini Bagamoyo.mwaka Mwaka 2013 aliweza kushinda katika mashindano ya Urembo ya REDDS MISS ILALA 2013<ref>http://mrokim.blogspot.com/2013/08/dorice-mollel-ndiye-redds-miss-ilala.html</ref>
Mnamo mwaka 2014 alishiriki mashindano ya mrembo wa Singida na kutwaa taji la Miss Singida 2014<ref>http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/doris-mole-23-atwaa-taji-la-miss-singida-2014-apewa-kitita-cha-shilingi-laki-tano</ref>