Mpasuaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 6:
== Historia ==
[[Picha:Albucasis.gif|thumb|Al-Zahrawi, aliyeishi [[Nyakati za dhahabu za Kiislamu]] (Islamic Golden Age), ni daktari anayechukuliwa kuwa '"Baba wa Upasuaji wa Kisasa".]]
Mtu wa kwanza kuwekwa kwenye kumbukumbu kama daktari mpasuaji ni [[Sushruta]] aliyeishi [[karne ya 6]]. Yeye alifanya [[upasuaji wa plastiki]] peke yake<ref name="auto">Ira D. Papel, John Frodel, ''Facial Plastic and Reconstructive Surgery''</ref> ambao kazi yake kubwa ni kurekebisha viungo vya mwili na hata kwa urembo hasa miaka ya karibuni <ref>{{cite web|url=https://plasticspot.io/blog/top-plastic-surgery-trends-2019/|title=Plastic Surgery Trends|}}</ref>. [[Hati]] yake muhimu kabisa: ''Suśruta-saṃhitā'' ni [[moja]] ya hati muhimu zaidi za kale zilizoko kuhusu [[matibabu]] na huchukuliwa kama nakala msingi ya [[Ayurveda]] na upasuaji. Hati hii huongea kuhusu mambo yote ya matibabu ya kijumla, lakini mtafsiri [[G. D. Singhal]] alimwita Suśruta "baba wa upasuaji" kwa sababu ya usahihi usio wa kawaida na yawa kina kilichomouliomo katika hati hizo.<ref>{{Cite book|title=Diagnostic considerations in ancient Indian surgery: (based on Nidāna-Sthāna of Suśruta Saṁhitā)|last=Singhal|first=G. D.|publisher=Singhal Publications|year=1972|location=Varanasi}}</ref>
 
[[Upasuaji]] ulipuuziwa kijumla hadi "Nyakati za dhahabu za Kiislamu" ambapo mpasuaji [[Al-Zahrawi]] ([[936]]-[[1013]]) alistawisha matibabu ya upasuaji. Yeye huchukuliwa kama mpasuaji mkuu zaidi wa kale aliyetoka [[Ulimwengu]] wa [[Kiislamu]].<ref name="Ahmad">{{citation|last=Ahmad|first=Z. ([[St Thomas' Hospital]])|title=Al-Zahrawi - The Father of Surgery|journal=ANZ Journal of Surgery|year=2007|volume=77|issue=Suppl. 1|doi=10.1111/j.1445-2197.2007.04130_8.x|pages=A83}}</ref> Mchango wake mkubwa kwa matibabu ni ''Kitab al-Tasrif'', [[kamusi elezo]] ya matibabu yenye [[juzuu]] [[thelathini]].<ref name="al-ZahrāwīStudies1973">{{cite book|last1=al-Zahrāwī|first1=Abū al-Qāsim Khalaf ibn ʻAbbās|last2=Studies|first2=Gustave E. von Grunebaum Center for Near Eastern|title=Albucasis on surgery and instruments|url=https://books.google.com/books?id=mjVra87nRScC&pg=PR8|accessdate=16 May 2011|year=1973|publisher=University of California Press|isbn=978-0-520-01532-6}}</ref>
Yeye alikuwa daktari wa kwanza kuelezea hali ya [[mimba]] kutoka chungu cha mtoto, na daktari wa kwanza kutambua asili ya [[Jenetikia|kijenetikia]] ya ''haemophilia''.
 
Michango yake kwenye tasnia ya taratibu za upasuaji na [[zana]] ilichangia kwa vikubwakiasi kikubwa upasuaji lakini haikuwa hadi [[karne ya 19]] ambapo upasuaji ulichukuliwa kama tasnia kivyake katika matibabu huko [[Ulaya]] na ulimwengu wa [[Magharibi]].<ref name="MedievalLife">{{cite book|title=Handbook to Life in the Medieval World|first1=Madeleine Pelner|last1=Cosman|first2=Linda Gale|last2=Jones|publisher=[[Infobase Publishing]]|year=2008|series=Handbook to Life Series|volume=2|isbn=0-8160-4887-8|pages=528–530}}</ref>
 
Katika Ulaya, upasuaji mara nyingi ulihusishwa na [[Kinyozi|vinyozi]]-wapasuaji waliotumia zana zao za kunyoa nywele kufanya upasuaji, mara nyingi katika [[vita]] na pia kwa wadhamini wao wa kifalme.