Cannabidiol : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Cannabidiol''' (kwa [[Kiingereza]] pia: '''CBD oil''') ni kiungo cha [[kemia]] kinachopatikana kiasilia katika [[bangi]] (Cannabis).
 
Cannabidiol ilivumbuliwa [[mwaka]] [[1940]] na kusemekana kuwa ya maana kama [[dawa]]. CBD ni kati ya cannabidiods 113 zilizoko katika [[mmea]] wa hemp[[mbangi]] na huwa [[asilimia]] [[arobaini]] katika ule mmea.
 
Shirika la [[Marekani]] la Food and Drug Administration (FDA) limepitisha Cannabidiol Epidiolex kwa matumizi katika kutibu [[ugonjwa]] wa [[kifafa]] kwa [[watoto]].
[[Picha:Cannabidiol (CBD) molecule 3D.JPG|thumb|Cannabidiol]]
 
Cannabidiol yaweza kutumiwa [[Mwili|mwilini]] kwa kuvuta [[moshi]] wa cannabis au kama kupulizwa kwa [[mdomo]] kwa presha. Yaweza pia kuchukuliwa moja kwa moja kutokana na cbdmafuta oilya CBD ambayo haina [[THC]]. THC ndiyo kiungo ambacho kinalewesha katika bangi. CBD haileweshi kama THC ingawa kuna wanaouza CBD ikiwa na THC bila kuwaambia wanaonunua.
 
Madhara ya Cannabidiol ni kama vile: [[uchovu]] na kulala sana, [[kukosa hamu ya chakula]], [[kuhara]] pamoja na kujisikia mwili umenyongonyea.
Mstari 23:
 
== Maamkizi ya CBD na serikali za nchi ==
Chakula na vinywaji vyenye cbdmafuta oilya CBD vilianza kuingia nchini Marekani mwaka wa 2017. Hata hivyo kuna wale wanaouza cbdmafuta oilhayo bila ya wanunuzi kujua kuwa chakula walichokinunua kina cannabidiol na wamepata barua za onyo kutoka shirika la Food and Drug Administration (FDA). Pia kuna wanaodondoa cbdmafuta oilya CBD kutoka kwa hemp plant au cannabis[[mbangi]] kwa njia isiyokubalika.
 
FDA imesema<ref>[https://www.botahemp.com/best-quality-cbd-products/ Quality check for CBD Oil in market]</ref> kuwa unapotafuta cbdmafuta oilya CBD, uangazie mambo haya :
 
=== Njia ya kukuza mmea ===
Kuna wale wanaotumia kemia kukuza mimea ya hemp na cannabismbangi ambayo hutoa cbdmafuta ya oilCBD. Hili halifai kwa sababu huenda ukadhuru afya yako ukitumia cannabidiol iliyokuzwa kwa njia hii.
 
=== Njia ya kudondoa cannabidiol kutoka mmea ===
Muundo wa kudondoa cannabidiol kutokana na mmea una maana sana. Kampuni nyingi zatumia njia hafifu kwa kutumia kemia zenye madhara kama vile propane, pentane na butane ambazo zinaweza kuwaka (flammable). Shirika la Constance Theraupetics <ref>[https://www.constancetherapeutics.com/home]</ref> limedai kuwa utumizi wa kemia kama hizi huacha chemchemi mbovu mwilini ambazo zaweza kudhuru afya ya mtu.
 
=== Viungo vya cbdmafuta oilya CBD ===
Huenda cbd oil unayotumia ikawekwa viungo vingine visivyo sawa na mwili wako. Yafaa basi uangalie viungo hivyo kwa makini usije ukadhurika. Royal CBD inasema kuwa yafaa pia cannabidiol ipitishwe katika maabara ili unapotumia, uwe unajua fika ni nini kilichomo katika ile cbd oil unayotumia.
 
== Marejeo ==
{{marejeo}}
 
== Viungo vya nje ==