Mpasuaji : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
[[Picha:Shushrut_statue.jpg|thumb|[[Sanamu]]
'''Mpasuaji '''ni [[daktari]] wa [[tiba]] ambaye hufanya [[Upasuaji|shughuli za upasuaji]] katika [[kiungo|viungo]] mbalimbali
Pia kuna upasuaji katika utabibu wa [[meno]] na utabibu wa [[mifugo]].
Mstari 6:
== Historia ==
[[Picha:Albucasis.gif|thumb|Al-Zahrawi, aliyeishi [[Nyakati za dhahabu za Kiislamu]] (Islamic Golden Age), ni daktari anayechukuliwa kuwa '"Baba wa Upasuaji wa Kisasa".]]
Mtu wa kwanza kuwekwa kwenye kumbukumbu kama daktari mpasuaji ni [[Sushruta]] aliyeishi [[karne ya 6]]. Yeye alifanya [[upasuaji wa plastiki]] peke yake<ref name="auto">Ira D. Papel, John Frodel, ''Facial Plastic and Reconstructive Surgery''
[[Upasuaji]] ulipuuziwa kijumla hadi "Nyakati za dhahabu za Kiislamu" ambapo mpasuaji [[Al-Zahrawi]] ([[936]]-[[1013]]) alistawisha matibabu ya upasuaji. Yeye huchukuliwa kama mpasuaji mkuu zaidi wa kale aliyetoka [[Ulimwengu]] wa [[Kiislamu]].<ref name="Ahmad">{{citation|last=Ahmad|first=Z. ([[St Thomas' Hospital]])|title=Al-Zahrawi - The Father of Surgery|journal=ANZ Journal of Surgery|year=2007|volume=77|issue=Suppl. 1|doi=10.1111/j.1445-2197.2007.04130_8.x|pages=A83}}</ref> Mchango wake mkubwa kwa matibabu ni ''Kitab al-Tasrif'', [[kamusi elezo]] ya matibabu yenye [[juzuu]] [[thelathini]].<ref name="al-ZahrāwīStudies1973">{{cite book|last1=al-Zahrāwī|first1=Abū al-Qāsim Khalaf ibn ʻAbbās|last2=Studies|first2=Gustave E. von Grunebaum Center for Near Eastern|title=Albucasis on surgery and instruments|url=https://books.google.com/books?id=mjVra87nRScC&pg=PR8|accessdate=16 May 2011|year=1973|publisher=University of California Press|isbn=978-0-520-01532-6}}</ref>
Mstari 27:
{{reflist}}
{{mbegu-
[[Jamii:
[[Jamii:Tiba]]
|