Kitabu cha Tobiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 40 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q131737 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Abraham de Pape 001.jpg|thumb|300px|''Tobiti na Anna''. Mchoro wa Abraham De Pape (1658 hivi), [[National Gallery of London]].]]
'''Kitabu cha Tobiti''' ni kimojawapo kati ya [[vitabu]] vya [[deuterokanoni]] vya [[Biblia ya Kikristo]].
 
Nakala zilizopatikana katika [[Pango (jiolojia)|mapango]] ya [[jumuia]] ya [[Waeseni]] huko [[Qumran]] zinaonyesha kuwa kitabu hicho kiliandikwa kwanza kwa [[Kiaramu]] miaka 200 [[KK]] hivi na kutafsiriwa mapema kwa [[Kigiriki]] katika [[Septuaginta]].
 
Inaonekana kuwa [[tafsiri]] ya [[Kilatini]] maarufu kwa [[jina]] la [[Vulgata]] iliyofanywa na [[Jeromu]] inategemea [[andiko]] asili.
 
Kitabu hicho kilikubaliwa kama sehemu ya [[Biblia]] na [[mtaguso wa Hippo]] ([[393]]), [[mtaguso wa Carthago]] wa mwaka [[397]] na wa mwaka [[419]], halafu tena na [[Mtaguso wa Florence]] ([[1442]]) na [[Mtaguso wa Trento]] ([[1546]])<ref>http://www.tertullian.org/decretum_eng.htm</ref><ref>{{citation |chapter-url=http://www.ccel.org/ccel/schaff/npnf214.xv.iv.iv.xxv.html |chapter=Canon XXIV. (Greek xxvii.) |publisher=Christian Classics Ethereal Library |title=The Canons of the 217 Blessed Fathers who assembled at Carthage}}</ref><ref>B. F. Westcott, ''A General Survey of the History of the Canon of the New Testament'' (5th ed. Edinburgh, 1881), pp. 440, 541-2.</ref><ref>[http://www.newadvent.org/fathers/3816.htm Council of Carthage (A.D. 419) Canon 24]</ref><ref>{{cite book|title=Eccumenical Council of Florence and Council of Basel Session 11—4 February 1442|publisher=ewtn|url=https://www.ewtn.com/library/COUNCILS/FLORENCE.HTM|accessdate=20 October 2016}}</ref><ref>[http://www.ewtn.com/library/COUNCILS/TRENT4.htm Session IV Celebrated on the eighth day of April, 1546 under Pope Paul III]</ref>.
Kitabu hicho kilikubaliwa kama sehemu ya [[Biblia]] katika [[mtaguso]] wa [[Cartago]] wa mwaka [[397]], halafu tena na [[Mtaguso wa Trento]] ([[1546]]).
 
Lakini hakikubaliwi na [[Wayahudi]] katika [[Tanakh]], wala na [[Waprotestanti]] wengi.
[[Hadithi]] hiyo inahusu [[familia]] ya [[kabila la [[Naftali]] la [[taifa]] la [[Israeli]] katika [[karne ya 7 K.K.KK]], baada ya [[uhamisho]] uliosababishwa na [[Waashuru]].
 
Lengo lake kuu ni kufundisha [[maadili]] bora ya [[Wayahudi]]
 
Kama vitabu vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
Line 17 ⟶ 18:
{{DEFAULTSORT:Tobiti}}
{{Biblia AK}}
{{mbegu-Biblia}}
 
[[Jamii:Vitabu vya Agano la Kale]]