Kitabu cha Yuditi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Ufafanuzi: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|he}} using AWB (10903)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Image:Judith und Holofernes (Michelangelo).jpg|thumb|[[Michelangelo Buonarroti]], ''Yuditi na kichwa cha Oloferne'', 1508-1512, [[Cappella Sistina]], [[Vatikano]].]]
'''Kitabu cha Yudith''' ni kimojawapo kati ya [[vitabu]] vya [[deuterokanoni]] vya [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kimo katika [[Septuaginta]] na katika [[Agano la Kale]] la [[Kanisa Katoliki]], la [[Waorthodoksi]] wengi na la baadhi ya [[Waprotestanti]], lakini si katika [[Tanakh]] ya [[Uyahudi]] wala katika [[Biblia]] ya Waprotestanti.
 
==Habari iliyomo==
[[Hadithi]] hiyo, iliyoandikwa katika [[karne ya 1 K.K.KK]] inahusu wakati wa [[mfalme]] [[Nebukadreza II]], na [[vita]] vyake dhidi ya [[Israeli]] ([[karne ya 6 K.K.KK]]).
 
Kinyume cha matarajio, [[Yudith]], ambaye [[jina]] lake linamaanisha [[mwanamke]] wa [[kabila la Yuda]], aliweza kupata [[ushindi]] mkubwa dhidi ya maadui wa [[taifa]] la [[Israeli]] kwa [[imani]] na [[ushujaa]] wake.
 
Habari hiyo ya ajabu ilipata [[mwangwi]] kwa wingi katika [[sanaa]] mbalimbali.
 
==Ufafanuzi==
Wengi wanaona katika YudithYuditi kielelezo cha [[Bikira Maria]] katika mapambano dhidi ya [[shetani]], hasa kutokana na maneno yafuatayo: "Umebarikiwa, binti yangu, usoni pa [[Mungu]] Aliye Juu, kuliko wanawake wote duniani. Na ahimidiwe [[Bwana]] Mungu, [[Muumba]] [[mbingu]] na [[nchi]], aliyekuongoza hata ukampiga [[kichwa]] mkuu wa adui zetu" (Yudith 13:18).
 
Kama vitabu vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
Line 17 ⟶ 18:
{{DEFAULTSORT:Yuditi}}
{{Biblia AK}}
{{mbegu-Biblia}}
 
[[Jamii:Vitabu vya Agano la Kale]]