Kitabu cha Wamakabayo II : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q209748 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Judea Judas Makk.PNG|thumb|230px|Judea chini ya Yuda Makabayo.]]
'''Kitabu cha pili cha Wamakabayo''' ni kimojawapo katika ya [[vitabu]] vya [[deuterokanoni]] vya [[Agano la Kale]] katika [[Biblia]] ya [[Kanisa Katoliki]] na ya [[Waortodoksi]] wengi.
 
Sawa na [[Kitabu cha Wamakabayo I]] kinasimulia upiganaji [[uhuru]] wa [[Wayahudi]] wakiongozwa na [[familia]] ya [[Wamakabayo]] katika [[karne ya 2 K.K.KK]], lakini hakikuandikwa na mtu yuleyule, ingawa [[jina]] lake halijulikani.
 
Anadhaniwa kuwa Myahudi msomi wa [[Aleksandria]] ([[Misri]]) au aliyeathiriwa na shule ya uandishi ya Misri.
 
Ingawa aliandikwa kwa [[ufasaha]] katika [[lugha]] ya [[Kigiriki]], anaonekana ameshikilia kabisa [[Torati]] ya [[Uyahudi]].
 
Kitabu kinaonekana kimeandikwa mwishoni mwa karne ya 2 K.K.KK kwa kufupisha vitabu vitano vya [[Yasoni wa Kirene]] (2Mak 2:19-32).
 
Kinasimulia kwa namna nyingine habari za awali za Kitabu cha kwanza cha Wamakabayo ([[176 K.K.KK]] - [[160 K.K.KK]]); hivyo si mwendelezo wake, bali kinakikamilisha na kuzidisha mtazamo wake wa [[imani]] hasa upande wa [[Hekalu la Yerusalemu]].
 
Kitabu hicho ni muhimu katika maendeleo ya [[ufunuo]] wa Mungu kwa [[Israeli]], kwa kuwa kinafundisha [[uumbaji]] kutoka [[utovu wa vyote]], [[ufufuko]] wa wafu, [[maombezi]] kwa ajili ya [[marehemu]], uwepo wa [[malaika]] n.k.
 
Kama vitabu vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
{{Biblia AK}}
 
{{mbegu-Biblia}}
{{DEFAULTSORT:Makabayo II}}
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]
 
{{Biblia AK}}