Tofauti kati ya marekesbisho "Tafsiri"

1,930 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
d (Masahihisho aliyefanya 105.51.218.206 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
Tag: Rollback
No edit summary
 
[[Picha:Rosetta Stone.JPG|thumbnail|[[Jiwe la Rosetta]] kutoka [[Misri ya Kale]] ni kati ya mifano ya kwanza ya tafsiri (ina matini ileile kwa lugha tatu).]]
'''Tafsiri''' ([[Asili]] ya [[neno]] hili ni [[Kiarabu]]; [[kisawe]] cha neno hili ni '''Tarjuma''') ni [[kazi]] ya kutoa maana ya [[maneno]] kutoka lugha moja kwenda [[lugha]] nyingine.
 
Mtu anayefanya kazi hii huitwa [[mfasiri]] au [[mkalimani]].
 
Kutafsiri na kukalimani kuna maana [[mbili]] kwa mujibu wa [[Kamusi Kuu ya Kiswahili]] (KKK):
Hakuna tafsiri kamili kabisa. Kila mfasiri hana budi kuchagua.
#Ni kutoa andiko au maelezo fulani katika [[lugha]] nyingine kwa maana ilele.
#Toa maelezo ya lugha fulani kwa lugha nyingine kwa maana ileile kwa kutumia maandishi. Katika maana ya pili, maana yake ni kitenzi elekezi, ni kitenzi ambacho kinapokea Yambwa, yaani nomino ya mtendwa.
 
Katika misingi ya kielimu dhana ya tafsiri imeweza kujadiliwa na [[wataalamu]] mbalimbali.
*Newmark (1982): Tafsiri ni jaribio la kuwasilisha ujumbe uleule ulioandikwa katika lugha moja kwa lugha nyingine.
*Mwansoko na wenzake (2006): Tafsiri ni zoezi la uhawilishaji (Transferring) wa mawazo katika maandishi kutoka lugha moja hadi lugha nyingine.
 
*Uhawilishaji ni kuhamisha mawazo au ujumbe kutoka katika lugha moja kwenda lugha nyingine.
*Mfasiri ni mtu mwenye ujuzi mzuri wa lugha zaidi ya moja anayefanyakazi ya kutafsiri matini kutoka lugha moja kwenda nyingine. Mara nyingi mtu anayefanya kazi ya kutafsiri huwa anahawilisha matini kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine. Hasa katika maandishi.
*Matini ni maandishi yaliyomo katika andiko linalohusu jambo fulani. Matini inaweza kuwa riwaya, tamthiliya au ushairi. Kimsingi chochote kilichoandikwa ili kiweze kutolewa tafsiri huitwa matini.
 
==Aina za matini==
Kuna aina kuu mbili za matini, ambazo ni:
#Matini chanzi/ Chasili (Source text): Ni matini ambayo iko katika lugha yake ya awali au lugha yake iliyoandikiwa kabla ya mchakato wa kutafsiri.
#Matini lengwa/ Tafsiri (Target text): Ni matini iliyotafsiriwa kutoka lugha yake iliyoandikiwa.
 
Kumbuka:
#Lugha Chanzi/Chasili (LC) ni lugha iliyotumika kuandikia matini chanzi (Source language)
#Lugha Lengwa (LL) (Target language) ni lugha iliyotumika kutafsiria matini chanzi au lugha unayoitumia kufanyia tafsiri.
 
==Ugumu wa kutafsiri==
Hakuna tafsiri kamili kabisa. Kila mfasiri hana budi kuchagua. kati ya mawili:
* Akikaa karibu zaidi kwa matini ya lugha ya asili, tafsiri yake inaweza kukosa [[uzuri]] katika lugha ya kutafsiriwa. Pia anaweza kukosa maana ya maneno ya asili hasa kama yalitumia [[methali]] au [[lugha ya mifano]] na [[lugha ya picha]].
* Akielekea kutoa maana ya maneno asilia kwa [[umbo]] zuri katika lugha ya kutafsiriwa kuna [[hatari]] ya kwenda mbali kiasi na yale yaliyosemwa awali na kuingiza [[rai]] za mfasiri mwenyewe.