Kitabu cha Zaburi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 5 langlinks, now provided by Wikidata on d:q41064
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Psalms scroll.PNG|thumb|right|Kitabu cha Zaburi kwa Kiebrania.]]
[[Image:Codex binding Louvre MR373.jpg|thumb|200px|"Mfalme Daudi aandikisha zaburi"; Funiko la Kitabu cha Zaburi kutoka [[karne ya 11]]; kazi ya [[uchongaji]] wa [[meno]] ya [[ndovu]].]]
'''Kitabu cha '''Zaburi''' ni kimojawapo kati ya [[vitabu]] vya [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) na kwa hiyo pia vya [[Agano la Kale]] ambalo ni sehemu ya kwanza ya [[Biblia ya Kikristo]].

Kitabu cha '''Zaburi''' ni kimojawapo kati ya vitabu vya [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) na kwa hiyo pia vya [[Agano la Kale]] ambalo ni sehemu ya kwanza ya [[Biblia ya Kikristo]].

Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].

==Yaliyomo==
Kina [[sura]] 150; kila sura ni [[zaburi]] moja. Zaburi ni aina ya [[sala]] iliyotungwa kama [[shairi]] au [[wimbo]]. Zaburi zinafundisha jinsi [[binadamu]] awezavyo kuzungumza na [[Mwenyezi Mungu]].

Kwa hiyo kitabu cha Zaburi kinatumiwa na [[Wayahudi]] na [[Ukristo|Wakristo]] kama kitabu cha [[sala]].

[[Mada]] za zaburi hasa ni [[sifa]] za [[Mungu]], [[shukrani]], ma[[ombolezo]], [[huzuni]] na [[toba]], [[furaha]] na [[imani]], [[elimu]] ya ki[[dini]], na [[ombi]] la [[ushindi]] dhidi ya maadui wasiomcha Mungu.
Zaburi nyingi zimetungwa kama shairi la [[Kiebrania]]; mara nyingi fungu moja linarudia wazo la fungu lililopita, k.m. katika Zaburi 22, mistari 1-2:
Line 21 ⟶ 20:
:napiga yowe usiku, lakini nafuu sipati.

Katika kitabu hicho zaburi kadhaa zimewekwa pamoja: kwa mfano, Zaburi za [[Wakorahi]] (baadhi zikiwa 42—49), za [[Asafu]] (73—83), za kumsifu Mungu aliye [[Mfalme]] au Mtawala wa wote (93—99) au Zaburi za [[hija|kuhiji]] (120—134).

Baadaye Zaburi ziligawanywa katika vitabu vitano: 1—41; 42—72; 73—89; 90—106; 107—150. Kila kimojawapo kinamsifu Mungu katika mstari wake wa mwisho: 41:13; 72:19; 89:52; 106:48; na Zaburi yote ya 150. Inawezekana kuwa mgawanyo huo ulifanyika ili kuiga mgawanyo wa vitabu vitano vya kwanza vya Biblia, yaani [[Torati]].
Line 36 ⟶ 35:

===Zab 8===
Wewe, Mungu, Bwana wetu,

jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!

Wewe, Mungu, Bwana wetu,
Wewe umeuweka utukufu wako mbinguni.

jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!
Vinywani mwa watoto wachanga na wanyonyao

Wewe umeuweka utukufu wako mbinguni.
umeiweka misingi ya nguvu;

Vinywani mwa watoto wachanga na wanyonyao
kwa sababu yao wanaoshindana nawe;

umeiweka misingi ya nguvu;
uwakomeshe adui na mijilipiza kisasi.

kwa sababu yao wanaoshindana nawe;
Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako,

uwakomeshe adui na mijilipiza kisasi.
mwezi na nyota ulizoziratibisha;

Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako,
mtu ni kitu gani hata umkumbuke,

mwezi na nyota ulizoziratibisha;
na binadamu hata umwangalie?

mtu ni kitu gani hata umkumbuke,
Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu;

na binadamu hata umwangalie?
umemvika taji ya utukufu na heshima;

Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu;
umemtawaza juu ya kazi za mikono yako;

umemvika taji ya utukufu na heshima;
umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.

umemtawaza juu ya kazi za mikono yako;
Kondoo, na ng’ombe wote pia;

umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.
Kondoonaam, na ng’ombewanyama wotewa piakondeni;

naamndege wa angani, na wanyamasamaki wa kondenibaharini;

ndegena wakila angani, nakipitiacho samakinjia waza baharini;.

Wewe, Mungu, Bwana wetu,

na kila kipitiacho njia za baharini.
Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!

Wewe, Mungu, Bwana wetu,
Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!

===Zab 123===
Nimekuinulia macho yangu, wewe uketiye mbinguni.

Kama vile macho ya watumishi kwa mkono wa bwana zao;

kama macho ya mjakazi kwa mkono wa bibi yake;

hivyo macho yetu humwelekea Bwana, Mungu wetu,

hata atakapoturehemu.

Uturehemu, Ee Bwana, uturehemu sisi,

kwa maana tumeshiba dharau.

Nafsi zetu zimeshiba mzaha wa wenye raha,

na dharau ya wenye kiburi.

===Zab 130===
Ee Bwana, toka vilindini nimekulilia;

Bwana, uisikie sauti yangu.

Masikio yako na yaisikilize sauti ya dua zangu.

Bwana, kama Wewe ungehesabu maovu,

Ee Bwana, nani angesimama?

Lakini kwako kuna msamaha, ili Wewe uogopwe.

Nimemngoja Bwana, roho yangu imemngoja,

na neno lake nimelitumainia.

Nafsi yangu inamngoja Bwana,

kuliko walinzi waingojavyo asubuhi,

naam, walinzi waingojavyo asubuhi.

Ee Israeli, umtarajie Bwana;

maana kwa Bwana kuna fadhili,

na kwake kuna ukombozi mwingi.

Yeye atawakomboa Israeli na maovu yake yote.

==Viungo vya Njenje==
*[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Psal/ Kitabu cha Zaburi katika Biblia (Union Version)]
{{mbegu-Biblia}}

{{DEFAULTSORT:Zaburi}}
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]