Kitabu cha Hekima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 35 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q202135 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitabu cha Hekima''' au '''Hekima ya Solomoni''' ni cha mwisho kuandikwa (miaka 50 hivi K.K.[[KK]]) katika ya [[vitabu]] vya [[deuterokanoni]] vya [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
Hupangwa kati ya [[vitabu vya hekima]], [[kichwa]] chake kinavyodokezwa.
 
Kama vitabu vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Mwandishi==
Ingawa [[mwandishi]] anajidai kuwa [[mfalme Solomoni]] ili kutia maanani [[ujumbe]] wake, [[wataalamu]] wanasema [[lugha]] fasaha na mawazo vinaonyesha wazi [[asili]] yake katika [[mazingira]] ya [[Kigiriki]] ya [[Aleksandria]] ([[Misri]]).
 
Alikuwa [[Myahudi]] msomi katika [[dini]], [[falsafa]] na [[maadili]].
 
==Mafundisho==
Kati ya michango yake upande wa [[teolojia]] kuna fundisho la kutokufa kwa [[roho]], lakini pia [[utabiri]] juu ya [[mateso]] ya [[Yesu]] na [[Milele|umilele]] wa [[Hekima]] ya [[Mungu]].
 
==Sala ya kujiombea hekima (Hek 9:1-6)==
Mstari 44:
*[http://www.archive.org/stream/bookofwisdomgree00deanrich#page/44/mode/2up Vulgate, LXX and English]
*[http://www.archive.org/details/wisdom_drv_0807_librivox archive.org] - mp3-version of 'The Book of Wisdom', [http://www.archive.org/download/wisdom_drv_0807_librivox/wisdom_01-10_drv_64kb.mp3 chapters 1-10] and [http://www.archive.org/download/wisdom_drv_0807_librivox/wisdom_11-19_drv_64kb.mp3 chapters 11-19]
{{Biblia AK}}
 
{{mbegu-Biblia}}
{{DEFAULTSORT:Hekima}}
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]
 
{{Biblia AK}}