Kitabu cha Hekima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 9:
 
Alikuwa [[Myahudi]] msomi katika [[dini]], [[falsafa]] na [[maadili]].
 
[[Uchunguzi]] makini umeonyesha jinsi [[mashairi]] yake yametungwa kwa [[hesabu]] kali sana.
 
==Mafundisho==
Line 14 ⟶ 16:
 
==Sala ya kujiombea hekima (Hek 9:1-6)==
 
"Ee Mungu wa baba zetu, Bwana, mwenye kuihifadhi rehema yako,
 
umevifanya vitu vyote kwa neno lako;
 
na kwa Hekima yako ukamwumba mwanadamu,
 
ili avitawale viumbe vilivyoumbwa nawe,
 
na kumiliki ulimwengu katika utakatifu na kwa haki,
 
na kutoa hukumu kwa unyofu wa moyo.
 
Nakusihi unipe Hekima,
 
ambayo huketi karibu nawe katika kiti chako cha enzi,
 
wala usinikatae mimi miongoni mwa watumishi wako;
 
mimi niliye mtumwa wako, na mwana wa mjakazi wako,
 
mtu dhaifu asiye na siku nyingi,
 
wala sina nguvu ya kufahamu hukumu na sheria.
 
Kwa maana mtu ajapokuwa ni mkamilifu miongoni mwa wanadamu,
 
pasipo Hekima itokayo kwako atahesabiwa kuwa si kitu".