Uchaguzi wa Bunge la Kenya 2007 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
===Jumla===
Wabunge 207 kati ya 210 walichaguliwa. Kura zitarudiwa katika majimbo 3. Wabunge 12 wa ziada watateuliwa na rais. Akifuata kawaida atawateua kufuatana na nguvu ya vyama bungeni.
 
*[[Party of National Unity (Kenya)|PNU]] na vyama vinavyoshirikishwa nayo vina viti 78 (PNU 43, KANU 16, vyama vingine 21)
*[[Orange Democratic Movement|ODM]] na chama shirikishwa cha [[NARC]] vina viti 102 (ODM pekee 99).
*[[ODM-Kenya]] ina viti 16.
*Wabunge 11 walichaguliwa kwa majina ya vyama vidogo visivyoshirikishwa na vyama vikubwa. Wengine wao wako karibu na chama kikubwa walijiunga na chama kidogo baada ya kushindwa kuwa mgobea wa chama kikubwa kama ODM au PNU.
 
Magazeti yalitoa taarifa ya kwamba wabunge 30 wa vyama vidogo waliunda "Kundi la vyama vidogo bungeni" (Small Parties Parliamentary Group); idadi hii ingejumlihsa wabunge waliohesabiwa juu kama kundi la PNU.