Alisson Becker : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Alisson Ramses Becker''' (alizaliwa 2 Oktoba 1992), anayejulikana sana kama Alisson, ni mchezaji wa soka wa Brazili ambaye anacheza k...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:FWC 2018 - Group E - SRB v BRA - Photo 033.jpg|thumb|265x265px|Alisson akiwa golini na timu yake ya taifa ]]
'''Alisson Ramses Becker''' (alizaliwa [[2 Oktoba]] [[1992]]), anayejulikana sana kama [[Alisson]], ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Brazili]] ambaye anacheza kama [[golikipa]] wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza [[Liverpool FC]] na [[timu ya taifa]] la Brazili.