Alisson Becker : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:FWC 2018 - Group E - SRB v BRA - Photo 033.jpg|thumb|265x265px|Alisson akiwa golini na timu yake ya taifa ]]
'''Alisson Ramses Becker''' (anayejulikana sana kama Alisson; alizaliwa [[2 Oktoba]] [[1992]]), anayejulikana sana kama [[Alisson]], ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Brazili]] ambaye anacheza kama [[golikipa]] wa [[klabu]] ya [[Ligi Kuu]] ya [[Uingereza]] [[Liverpool FC]] na [[timu ya taifa]] laya Brazili.
 
Alisson alianza kazi yake na [[Internacional]], ambapo alicheza mechi zaidi ya 100 na alishinda [[Campeonato Gaúcho]] katika kila msimu. Mnamo mwaka [[2016]], alihamia [[AS Roma]] kwa dau la [[milioni]] 7.5.
 
Mnamo [[Julai]] [[2018]], Alisson alijiunga na Liverpool kwa ada ya [[€]] [[milioni]] 62.5 , ambayo iliweza kuongezeka kuwa [[euro]] milioni 72.
 
Alisson aliiwakilisha Brazili katika viwango mbalimbali vya vijana kabla ya kuanza mwanzo wake wa kimataifa mwaka 2015 ambapo baadae aliliwakilisha taifa lake katika [[Copa América Centenario]] mwaka [[2016]] na Kombe la Dunia la 2018.
 
Alisson aliiwakilisha Brazili katika viwango mbalimbali vya vijana kabla ya kuanza mwanzo wake wa kimataifa mwaka 2015 ambapo baadae aliliwakilisha [[taifa]] lake katika [[Copa América Centenario]] mwaka [[2016]] na [[Kombe la Dunia la FIFA 2018]].
 
{{mbegu-cheza-mpira}}
 
[[jamii:waliozaliwa 1992]]
 
[[jamii:watu walio hai]]
[[jamii:waliozaliwawachezaji 1992mpira wa Brazil]]
[[jamii:wachezaji mpira wa Brazili]]