Utao : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removing "Huangti.jpg", it has been deleted from Commons by INeverCry because: No license since 16 October 2016.
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Yin yang.svg|thumb|180px|Alama ya [[Yin-yang]] ni [[nembo]] laya Utao.]]
'''Utao''' (pia: udao) ni aina ya [[imani]] katika nchi ya [[China]] inayoitwa wakati mwingine [[falsafa]] na wakati mwingine [[dini]].
 
[[Asili]] yake ni katika [[karne ya 4 KK]] wakati [[mzee]] [[Laotze]] alipoandika [[kitabu]] cha [[Tao te king]]. Mafundisho yake ni msingi wa Utao.
 
Nembo yake ni [[alama]] ya taijitu inayojulikana zaidi kama [[yin-yang]] inayoonyesha jinsi gani vinyumevilivyo kinyume ni umoja.
 
Pamoja na [[Ukonfusio]] na [[Ubuddha]] ni moja ya imani tatu zilizoathiri na kuumba utamaduni wa China. Mafundisho yake huonekana katika Siasa, uchumi, sanaa, falsafa, fasihi, chakula, tiba, kemia, jiografia na elimu ya vita.
Mstari 16:
Wakati wa ukomunisti mkali chini ya [[Mao Zedong]] utao uligandamizwa pamoja na dini zote na mahekalu mengi yaliharibiwa. Wamonaki na makuhani walifungwa gerezani, wengine kuuawa na kulazimihswa kuacha kazi yao. Lakini imani iliendelea kwa siri. Leo hii kuna makadirio ya kwamba labda Wachina milioni 80 hufuata tena Utao pamoja na wengine nje ya Jamhuri ya Watu wa China kama huko [[Taiwan]], [[Singapur]] na penginepo.
 
== PichaViungo zavya Utaonje ==
 
<gallery></gallery>
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.davemckay.co.uk/philosophy/taoism/ Taoist Texts Online]
 
{{mbegu-dini}}
 
[[Jamii:Utamaduni wa China]]
[[Jamii:Falsafa]]
[[Jamii:Dini]]