Isaac Newton : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
Anakumbukwa duniani kote kutokana na michango yake mbalimbali katika [[sayansi]].
 
Ndiye aliyegundua tawi la [[calculuskalkulasi]] (sambamba na [[Gottfried Leibniz|Leibniz]]), [[nadharia ya mwendo]] na ya [[uvutano]] (graviti).
 
Mchango mwingine wa Isaac Newton upo katika [[nadharia ya mwanga]], kuona na jinsi [[rangi]] zinavyotokea.