Isaac Newton : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
]]
[[Picha:Newton-Principia-Mathematica 1-500x700.jpg|thumb|right|200px|Kitabu chake ''Principia Mathematica'', [[1686]].]]
'''Isaac Newton''' alizaliwa tarehe(* [[25 DisembaDesemba]] [[1642]][[20 MarchMachi]] 1726/27[[1727]]) alikuwa [[mwanahisabati]], [[mwanafizikia]] na [[mwanateolojia]] kutoka nchi ya [[Uingereza]].
 
Anakumbukwa duniani kote kutokana na michango yake mbalimbali katika [[sayansi]].
Mstari 15:
Newton alipata [[shahada]] yake ya kwanza mwaka [[1665]] na ile ya [[uzamili]] mwaka [[1668]].
 
Alizaliwa katika familia ya Kianglikana akatumia muda mwingi kufanya utafiti wa Biblia na theolojia. Binafsi hakubali mafundisho ya Utatu wa Mungu. Alilenga kupatanisha elimu ya kisayansi na imani yake. Aliandika "Graviti inaeleza miendo ya sayari lakini haiwezi kueleza ni nani aliyeanzisha miendo yao. Mungu anatawala mambo yote na yaliyopo na yanayoweza kuwepo". Tarehe [[10 Desemba]] [[1682]] alimuandikia [[Richard Bentley]]: « Siamini [[ulimwengu]] unaweza kuelezwa na sababu za maumbile tu, bali nazalimika kuuona kama tunda la [[hekima]] na [[ubunifu]] vya mmoja mwenye [[akili]] ».
 
{{Commons|Isaac Newton}}