Vietnam Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Svg version (GlobalReplace v0.6.5)
No edit summary
Mstari 3:
[[Picha:Flag_of_Vietnam.svg|thumb||Bendera ya Vietnam Kaskazini 1955-1976]]
 
'''Jamhuri ya Kidemokrasia ya Vietnam''' au '''Vietnam Kaskazini''' (kwa Kivietnam: Việt Nam Dân Chủ Cộng Hòa) ilikuwa jina la dola katika kaskazini ya [[Vietnam]] ya leo kati ya 1946 na 1976.
 
Jamhuri hii ilitangazwa na [[Ho Chi Minh]] baada ya mwisho wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] mnamo tar. [[2 Septemba]] [[1945]] mjini Hanoi katika kaskazini ya koloni yala Kifaransa ya [[Indochina]]. Tangazo lilijumlisha eneo la majimbo ya Tonking na Annan ya Indochina ya Kifaransa. Ho Chi Minh alikuwa kiongozi wa [[chamaChama cha kikomunistiKikomunisti]] kilichotawala harakati ya Viet Minh iliyoendesha upiganbaji dhidi ya Ufaransa.
 
Tangu 1946 [[Ufaransa]] iliyowahi kufukuzwa katikakutoka Vietnam na Wajapani wakati wa vita kuu ilijaribu kurudisha utawala wake. Katika [[vita ya Indochina]] jeshi la kikoloni la Ufaransa lilishindwa mwaka 1954 na Mkutano wa Geneva juu ya Indochina ya 1954 liligawauliligawa koloni ya awali katika nchi za [[Laos]], [[Kambodia]] na Vietnam. Vietnam iligawiwa kwa sehemu mbili yaani Vietnam Kaskazini (rasmi: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Vietnam) na [[Vietnam Kusini]] (rasmi: Jamhuri ya Vietnam). Mapatano ya amani yalitarajia kuwepo kwa uchaguzi wa kitaifa lakini serikali ya kusini ilikataa kura hiyo.
 
Hivyo Vietnam Kaskazini ilibaki kama nchi ya kikomunisti na Ho Chi Minh alikuwa rais.
 
Tangu 1960 uongozi wa Vietnam Kaskazini uliamua kujenga harakati ya [[Vietkong]] katika Vietnam Kusini kwa shabaha ya kupindua serikali ya Kusini na kuunganisha nchi yote. Hii ilisababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe ya kusini na kulazimisha kuingia kwa Marekani katika vita hiyo.
 
Kuanzia 1964 Vietnam Kaskazini ilituma wanajeshi wengi kwenda kusini waliofaulu kushinda vita na kuteka [[Saigon]] mwaka 1975 wakiunda serikali ya kikomunisti ya kusini. Mwaka 1976 sehemu zote mbili za Vietnam ziliunganishwa kwa jina la Jamhuri ya Kijamii ya Vietnam.
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.mtholyoke.edu/acad/intrel/vietdec.htm Azimio la Uhuru wa Vietnam Kaskazini]
*{{YouTube|vVIudsO4OJ0|rekodi ya azimio hilo}}
*{{YouTube|Bycg7n9pu4o|video ya sherehe za uhuru}}
 
{{mbegu-jio-Asia}}