Isaac Newton : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:GodfreyKneller-IsaacNewton-1689.jpg|thumbnail|Isaac Newton]]
 
]]
[[Picha:Newton-Principia-Mathematica 1-500x700.jpg|thumb|right|200px|Kitabu chake ''Principia Mathematica'', [[1686]].]]
'''Isaac Newton''' (* [[25 Desemba]] [[1642]] – [[20 Machi]] [[1727]]) alikuwa [[mwanahisabati]], [[mwanafizikia]] na [[mwanateolojia]] kutoka nchi ya [[Uingereza]].
 
Anakumbukwa [[duniani]] kote kutokana na michango yake mbalimbali katika [[sayansi]].
 
Ndiye aliyegundua [[tawi]] la [[kalkulasi]] (sambamba na [[Gottfried Leibniz|Leibniz]]), [[nadharia ya mwendo]] na ya [[uvutano]] (graviti).
 
Mchango mwingine wa Isaac Newton upo katika [[nadharia ya mwanga]], akitumia [[prisma]] kuonyesha jinsi [[rangi]] zinavyotokea.
 
Alichangia pia katika [[astronomia]] kwa kuboresha [[darubini ya kuakisia]] iliyoleta matokeo mazuri. Alitambua ya kwamba kanuni za mvutano zinatawala pia mwendo wa [[sayari]]. Alitunga [[ramani ya nyota]] kufuatana na tafiti za [[Flamsteed]].
 
Newton alipata [[shahada]] yake ya kwanza mwaka [[1665]] na ile ya [[uzamili]] mwaka [[1668]].
 
Alizaliwa katika [[familia]] ya [[Anglikana|Kianglikana]] akatumia [[muda]] mwingi kufanya [[utafiti]] wa [[Biblia]] na [[theolojia. Binafsi hakubali mafundisho ya Utatu wa Mungu]]. Alilenga kupatanisha [[elimu]] ya kisayansi[[sayansi]] na [[imani]] yake. Aliandika "Graviti inaeleza miendo ya sayari lakini haiwezi kueleza ni nani aliyeanzisha miendo yao. [[Mungu]] anatawala mambo yote na yaliyopo na yanayoweza kuwepo". Tarehe [[10 Desemba]] [[1682]] alimuandikia [[Richard Bentley]]: « Siamini [[ulimwengu]] unaweza kuelezwa na sababu za maumbile tu, bali nazalimika kuuona kama tunda la [[hekima]] na [[ubunifu]] vya mmoja mwenye [[akili]] ».
 
[[Tarehe]] [[10 Desemba]] [[1682]] alimuandikia [[Richard Bentley]]: «Siamini [[ulimwengu]] unaweza kuelezwa na sababu za [[maumbile]] tu, bali nalazimika kuuona kama [[tunda]] la [[hekima]] na [[ubunifu]] vya mmoja mwenye [[akili]]». Hata hivyo, yeye binafsi hakukubali mafundisho juu ya [[Utatu]] wa [[Mungu]].
 
==Viungo vya nje==
{{Commons|Isaac Newton}}
 
{{Mbegu-mwanasayansi}}