Kitabu cha Nahumu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Markp
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Nahum-prophet.jpg|thumb|Nabii Nahumu katika picha ya [[Waorthodoksi]] ya [[karne XVIII]].]]
Nahumu
'''Kitabu cha NahumNahumu''' (kwa [[Kiebrania]] '''נחום''', Nahum) ni kimojawapo kati ya [[vitabu]] 12 vya gombo la [[Manabii wadogo]] katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) na kwa hiyo pia katika [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
[[Picha:Nahum-prophet.jpg|thumb|Nabii Nahumu katika picha ya [[Waorthodoksi]] ya [[karne XVIII]].
]]
'''Kitabu cha Nahum''' (kwa [[Kiebrania]] '''נחום''') ni kimojawapo kati ya vitabu 12 vya gombo la [[Manabii wadogo]] katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) na kwa hiyo pia katika [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
== Muda ==
 
Kitarehe kinashika nafasi kati ya kile cha [[nabii Mika]] na kile cha [[Habakuki]].
 
== Mada ==
Katika kitabu hiki [[Nabii Nahumu]] anashangilia kwa [[ufasaha]] wa kishairi[[ushairi]] ujio wa maangamizi ya [[dola]] la [[Waashuru]] na ya [[Makao makuu|makao yao makuu]], [[Ninawi]] ([[612 KK]]): hivyo [[adui]] wa [[taifa]] na wa [[Mungu]] hatimaye ataadhibiwa.
 
Katika kitabu hiki [[Nabii Nahumu]] anashangilia kwa ufasaha wa kishairi ujio wa maangamizi ya dola la [[Waashuru]] na ya makao yao makuu, [[Ninawi]] ([[612 KK]]): hivyo adui wa taifa na wa [[Mungu]] hatimaye ataadhibiwa.
 
== Mtunzi ==
[[Mtunzi]] anadhaniwa kuwa [[nabii]] wa [[Yerusalemu]] wakati wa [[mfalme Yosia]] wa [[ufalme wa Yuda|nchi ya [[Yuda]].
 
Mtunzi anadhaniwa kuwa [[nabii]] wa [[Yerusalemu]] wakati wa [[mfalme Yosia]] wa nchi ya [[Yuda]].
 
== Ufafanuzi ==
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Viungo vya Nje ==
*[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Nah/ Kitabu cha Nahumu katika [[tafsiri]] ya [[Kiswahili]] (Union Version)]
 
{{Biblia AK}}