Maombolezo (Biblia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q179058 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Michelangelo Buonarroti 027.jpg|thumb|Yeremia alivyochorwa na [[Michelangelo Buonarroti|Michelangelo]] katika [[Cappella Sistina]].]]
 
'''Kitabu cha Maombolezo''' (kwa [[Kiebrania]] '''איכה''', eikha) ni kama nyongeza ya [[Kitabu cha Yeremia|kitabu]] cha [[nabii Yeremia]] katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) na hivyo pia katika [[Agano la Kale]] iliyo sehemu ya kwanza ya [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kichwa chake kinadokeza kwamba ni [[mashairi]] matano ya [[uchungu]] kuhusu maangamizi ya [[Yerusalemu]] ([[587 KK|587]] [[K.K.]]) na [[uhamisho wa Babeli]] uliofuata kwa [[Wayahudi]] wengi.
 
La kwanza, la pili na la nne yanazingatia utaratibu wa kwamba kila [[mstari]] unaanza na [[herufi]] tofauti kufuatana na [[alfabeti]] ya [[Kiebrania]] yenye herufi 22.
 
Katika mashairi hayo matano inaonekana [[toba]] halisi iliyotokana na tukio hilo lililotazamwa kuwa [[adhabu]] ya [[Mungu]] kwa [[dhambi]] za [[taifa]] lake.
 
Hatujui yametungwa na nani.
Line 13 ⟶ 12:
Kama vitabu vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== viungoViungo vya Njenje ==
*[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Lamen/ Kitabu cha Maombolezo katika [[tafsiri]] ya [[Kiswahili]] ya Biblia (Union Version)]
{{Biblia AK}}
{{mbegu-Biblia}}
 
[[Jamii:Vitabu vya Agano la Kale]]