Kitabu cha Baruku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitabu cha Baruku''' ni kimojawapo kati ya [[vitabu]] vya [[deuterokanoni]] vya [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
==Uandishi==
Kadiri ya [[utangulizi]] wake (Bar 1:1-14), kiliandikwa na [[Baruku]], [[karani]] wa [[nabii Yeremia]], wakati wa [[Uhamisho wa Babeli|uhamisho]] wa [[Wayahudi]] huko [[Babuloni]] katika [[karne ya 6 K.K.]].
 
Hata hivyo [[wataalamu]] wanaona kiliandikwa katika [[karne ya 2 K.K.]] moja kwa moja katika [[lugha]] ya [[Kigiriki]], isipokuwa labda sehemu ya pili inatokana na [[andiko]] asili la [[Kiebrania]].
 
==Mazingira==
Kitabu kinatuingiza katika [[Uyahudi]] wa [[mtawanyiko]] na kutuonyesha jinsi [[maisha]] [[maadili]]fu ya ki[[dini]] yalivyodumishwa kwa kuhusiana na [[Yerusalemu]], kwa kudumisha [[sala]] na kushika [[Torati]].
 
==Ufafanuzi==
Mstari 20:
*[http://www.ccel.org/wwsb/Baruch/index.html World Wide Study Bible: Baruch]
*[http://www.biblicalaudio.com/baruch1.htm 1Baruch 2012 Translation & Audio Version]
{{Biblia AK}}
 
{{mbegu-Biblia}}
 
{{DEFAULTSORT:Baruk}}
 
[[Jamii:Vitabu vya Agano la Kale]]
 
{{Biblia AK}}