Tofauti kati ya marekesbisho "Kigamboni"

177 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
Kigamboni ina umbo la [[rasi]] kati ya [[Bahari Hindi]] na [[maji]] ya [[bandari]]. Imetengwa na [[jiji]] la [[Dar es Salaam]] kwa maji ya [[Kurasini Creek]].
 
Mawasiliano yapo kwa njia ya [[feri]] kati ya Kigamboni na [[Kivukoni]] upande wa jiji. Tangu 2016 kuna [[Daraja la Julius Nyerere]] linalounganisha maeneo karibu na [[Vijibweni]] upande mmoja na barabara ya Nelson Mandela (zamani Port Access Road) upande wa jiji. Kuna pia [[barabara]] inayozunguka bandari lakini njia hii ni ndefu mno ni [[kilomita]] zaidi ya [[hamsini]] hadi [[kitovu]] cha jiji kwa njia ya [[nchi kavu]]. Kuna mipango ya kujenga [[daraja]].
 
Pia [[Kigamboni]] katika kata ya [[Vijibweni]] ndiyo sehemu ambapo kuna [[yadi]] nyingi za [[mafuta]] k.mf. kampuni zinazohifadhi mafuta katika yadi hizo ni: [[CAMEL OIL]], [[OIL COM]], [[BIG BON]] na nyinginezo.