Wanzilishaji wa akaunti, Warasimu, Watumiaji waliothibitishwa, Interface administrators, IP block exemptions, Wakabidhi
44,826
edits
Mawasiliano yapo kwa njia ya [[feri]] kati ya Kigamboni na [[Kivukoni]] upande wa jiji. Tangu 2016 kuna [[Daraja la Julius Nyerere]] linalounganisha maeneo karibu na [[Vijibweni]] upande mmoja na barabara ya Nelson Mandela (zamani Port Access Road) upande wa jiji.
Kuna pia [[barabara]] inayozunguka bandari kupitia Kibada hadi kufika Kilwa Road lakini njia hii ni ndefu mno ni [[kilomita]] zaidi ya [[hamsini]] hadi [[kitovu]] cha jiji kwa njia ya [[nchi kavu]].
Pia [[Kigamboni]] katika kata ya [[Vijibweni]] ndiyo sehemu ambapo kuna [[yadi]] nyingi za [[mafuta]] k.mf. kampuni zinazohifadhi mafuta katika yadi hizo ni: [[CAMEL OIL]], [[OIL COM]], [[BIG BON]] na nyinginezo.
|