Kitabu cha Yona : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q178819 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitabu cha Yona''' ni kimojawapo kati ya [[vitabu]] vinavyounda [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]), kwa hiyo pia [[Agano la Kale]], sehemu ya kwanza ya [[Biblia ya Kikristo]].
 
== Mahali pake katika Biblia ==
Tokea zamani kitabu hicho kimepangwa kati ya "[[Manabii wadogo]]" kwa sababu [[mhusika]] mkuu amepewa [[jina]] la [[nabii]] mmojawapo wa zamani.
 
Hata hivyo hakileti [[ujumbe]] wa ki[[nabii]], bali kinafanana zaidi na [[hadithi]] zenye fundisho la [[imani]] au [[maadili]], kama vingine vilivyopangwa kati ya "vitabu vya historia".
Tokea zamani kitabu hicho kimepangwa kati ya "Manabii wadogo" kwa sababu mhusika mkuu amepewa jina la nabii mmojawapo wa zamani.
 
Habari ni kwamba [[mtu]] huyo, alipopata [[wito]] wa kinabii kwa faida ya [[Waashuru]] wa [[mji]] wa [[Ninawi]], maadui wa [[Israeli]], alijaribu kuukwepa.
Hata hivyo hakileti ujumbe wa ki[[nabii]], bali kinafanana zaidi na hadithi zenye fundisho la imani au maadili, kama vingine vilivyopangwa kati ya "vitabu vya historia".
 
Baadaye, alipolazimika kuwatangazia [[adhabu]] ya [[Mwenyezi Mungu]], alionyesha [[huzuni]] kali kwa kuona wametubu na kuhurumiwa na [[Mungu]].
Habari ni kwamba mtu huyo, alipopata wito wa kinabii kwa faida ya [[Waashuru]] wa mji wa [[Ninawi]], maadui wa Israeli, alijaribu kuukwepa.
 
Baadaye, alipolazimika kuwatangazia adhabu ya Mungu, alionyesha huzuni kali kwa kuona wametubu na kuhurumiwa na Mungu.
 
== Lengo la kitabu ==
Lengo kuu la kitabu ni kupambana na utaifa wa [[Wayahudi]] uliowafanya wadhani Mungu anatakiwa kuwapenda wao tu, hata kusikitikia [[huruma]] yake kwa watu wa [[mataifa]].
 
Lengo kuu la kitabu ni kupambana na utaifa wa Wayahudi uliowafanya wadhani Mungu anatakiwa kuwapenda wao tu, hata kusikitikia huruma yake kwa watu wa mataifa.
 
== Mwangwi katika [[Agano Jipya]] ==
Yona anatajwa katika [[Injili]] kuhusiana na [[ishara]] yake iliyomuashiria [[Yesu]].
 
Kwanza, kwa kuhubiri pasipo [[miujiza]], alionyesha mtu anapaswa kupokea ujumbe wa Mungu bila ya kumdai ishara inayothibitisha [[ukweli]] wake.
Yona anatajwa katika Injili kuhusiana na ishara yake iliyomuashiria [[Yesu]].
 
Pili, kwa kuwemo [[siku]] [[tatu]] [[Tumbo|tumboni]] mwa [[nyangumi]], alifanywa ishara ya [[Yesu Kristo]] aliyekaa hadi siku ya tatu ndani ya [[kaburi]].
Kwanza, kwa kuhubiri pasipo miujiza, alionyesha mtu anapaswa kupokea ujumbe wa Mungu bila ya kumdai ishara inayothibitisha ukweli wake.
 
Pili, kwa kuwemo siku tatu tumboni mwa nyangumi, alifanywa ishara ya [[Yesu Kristo]] aliyekaa hadi siku ya tatu ndani ya kaburi.
 
== Ufafanuzi wake ==
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
Line 35 ⟶ 31:
{{DEFAULTSORT:Yona}}
{{Biblia AK}}
{{mbegu-Biblia}}
 
[[Jamii:Vitabu vya Agano la Kale]]