Kitabu cha Mika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|he}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitabu cha Mika''' ni kimoja kati ya [[vitabu]] 12 vya [[Manabii wadogo]] ambavyo, pamoja na vingine vingi, vinaunda [[Tanakh]].
 
Hivyo ni pia sehemu ya [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
Mstari 6:
 
== Mwandishi na muda ==
[[Jina]] la [[nabii]] huyo, aliyefanya [[kazi]] wakati uleule wa nabii [[Isaya]], mwishoni mwa [[Karne ya 8 KK|karne ya 8]] [[K.K.]], lina maana ya "Nani kama Mungu?".
 
== Muhtasari ==
Kitabu kinaweza kuwaganyika sehemu [[nne]] ambamo vitisho na [[ahadi]] vinapokezana:
* [[hukumu]] dhidi ya [[Israeli]] (Mik 1:2-3,12)
* ahadi kwa [[Siyoni]] (Mik 4:1-5,14)
* hukumu ya pili dhidi ya Israeli (Mik 6:1-7,7)
* [[matumaini]] (Mik 7:8-20)
 
== Dondoo maarufu ==
Tunavyosoma katika [[Injili ya Mathayo]] (2:1-6), dondoo la Mik 5:2 lilitumiwa na [[Wayahudi]] kutarajia ujio wa [[Masiya]] wa [[ukoo]] wa [[Mfalme Daudi]] kutoka [[Bethlehemu]].
 
Dondoo lenyewe lilibainisha miaka 700 kabla ya [[Yesu]] kuzaliwa kwamba Bethlehemu hiyo ni ile ya Efrata, si nyingine yenye jina hilohilo: "Bali wewe, Betlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako wewe atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale, tangu milele".
Mstari 60:
 
{{Biblia AK}}
{{mbegu-Biblia}}
 
{{DEFAULTSORT:Mika}}