Kitabu cha Habakuki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Zuccone Donatello OPA Florence.jpg|thumb|right|180px|[[Sanamu ya Habakuki]] iliyotengenezwa na [[Donatello]], [[Museo dell'Opera del Duomo (Florence)|Museo dell'Opera del Duomo]], [[Florence]].]]
'''Habakuki''' ni [[jina]] la [[nabii]] wa [[Israeli ya Kale]] na pia la [[kitabu]] kinacholeta habari zake katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]), na kwa hiyo pia katika [[Agano la Kale]], sehemu ya kwanza ya [[Biblia ya Kikristo]].
==Muda na mada==
Wakati alipofanya [[kazi]] nabii [[Yeremia]] aliishi pia Habakuki ([[600 KK|600 hivi K.K.]]), aliyeandika kitabu kifupi ambamo alithubutu kumuuliza [[Mungu]] kwa nini anaadhibu [[Israeli]] vikali kwa [[mikono]] ya watu wabaya kuliko wao.
 
Jibu ni kwamba [[Mwenyezi Mungu]] ana [[njia]] zake ambazo anaandaa [[ushindi]] wa [[haki]]: hivyo mwadilifu ataishi kwa [[imani]] yake (1:12-2:4).
Wakati alipofanya kazi nabii [[Yeremia]] aliishi pia Habakuki (600 hivi K.K.), aliyeandika kitabu kifupi ambamo alithubutu kumuuliza [[Mungu]] kwa nini anaadhibu [[Israeli]] vikali kwa mikono ya watu wabaya kuliko wao.
 
Jibu ni kwamba Mungu ana njia zake ambazo anaandaa ushindi wa haki: hivyo mwadilifu ataishi kwa [[imani]] yake (1:12-2:4). Usemi huo ukaja kutumika sana katika [[Agano Jipya]]. [[Mtume Paulo]] ameufanya msingi wa msimamo wake kuwa [[wokovu]] unapatikana kwa imani, si kwa kujitahidi kutekeleza masharti yote ya [[Torati]].
 
==Ufafanuzi==
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
Line 68 ⟶ 69:
 
{{Biblia AK}}
{{mbegu-Biblia}}
 
{{DEFAULTSORT:Habakuki}}
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]