Nguo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Nguo huvaliwa kulingana na [[hali ya hewa]] na [[mazingira]] fulani, lakini pia kulingana na [[mitindo]] inayobadilikabadilika kadiri ya nyakati.
 
== Historia ya Nguonguo ==
Kulingana na [[wanaakiolojia]] na [[wanaanthropolojia]], nguo za kwanza zilikuwa [[unyoya|manyoya]], [[ngozi]] za [[wanyama]], [[majani]] na [[nyasi]]. Uvaaji wa nguo hizi uliwasaidia binadamu haswa katika kujikinga na [[hewa]] baya, kujikinga na [[vumbi]] pamoja na [[dhoruba]] kali.
 
== Tanbihi ==