Wanyiha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Wanyiha''' ni [[kabila]] la watu wa [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Wilaya ya Mbozi]]. Pia wako [[Zambia]]na Malawi. [[Lugha]] yao ni [[Kinyiha]].
 
Wanyiha wamezungukwa na makabila mbalimbali wakiwemo [[Wasafwa]], [[Wandali]], [[Wanyakyusa]], [[Wabungu]] na [[Wanyamwanga]].