Moshi William : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
Mstari 6:
Moshi William alijiunga na [[bendi]] kongwe nchini Tanzania [[Juwata Jazz Band]] mwaka [[1982]] akitokea Bendi ya Polisi Jazz. Mwanamziki huyo alijipatia umarufu mkubwa kwa kutunga [[nyimbo]] zilizokuWa na mafunzo katika [[jamii]]: mfano wa nyimbo kama ashibae, mwaka wa watoto, msafiri kakiri, Asha mwanaseifu, kaza moyo, Ajuza, Ndoa ndoano, Mwanamkiwa, Ajari, Nyongo mkaa na ini, Isihaka kibene, Harusi ya kibene, Piga ua taraka utatoa na nyimbo nyingine nyingi.
 
Ukipita mitaa ya Keko Machungwa [[Jiji|jijini]] [[Dar es Salaam]] sehemu alikokuwa anaishi mwanamUziki huyu lazima utasikia [[moja]] ya nyimbo zake zikipigwa katika [[klabu]] mbalimbali au kwenye [[jumba|majumba]] ya wenyeji. Pia katika [[miji]] mbalimbali ya [[Afrika Mashariki]] na [[Afrika ya Kati|kati]] mwanamUziki huyu alifananishwa sana na mwanamUziki [[Madilu System]] wa [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] kutokana na staiLi yake ya [[uimbaji]] pamoja na [[kijana]] aliyekuwa akimuigiza [[sauti]] yake Gasper Damian Danken <nowiki/>katika Bendi ya [[Msondo Ngoma]] na mtoto wake Hassan Moshi William. Ama hakika [[kifo]] cha mwanamziki Moshi William kiliacha pengo kubwa sana katika Bendi ya Msondo Ngoma.
 
{{DEFAULTSORT:Moshi William}}