Tofauti kati ya marekesbisho "Wilaya ya Busia, Kenya"

14 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
Kwa sasa imekuwa [[kaunti ya Busia]].
 
Shughuli kuu ya kiuchumi ni [[biashara]] na nchi jirani ya [[Uganda]], pamoja na [[mji wa Busia]] kituo cha mpakani.
 
Mbali na mji, [[uchumi]] wa wilaya hutegemea sana [[uvuvi]] na [[kilimo]], mazao msingi yakiwemoyakiwa pamoja na [[mihogo]], [[mtama]], [[viazi vitamu]], [[maharagwe]], na [[mahindi]].
 
Wilaya ya Busia ni makao ya [[kabila]] la [[Waluhya]] nchini Kenya ambao wanapatikana hasa katika sehemu za Magharibi mwa Kenya. Wilaya hii ilikuwa na wakazi 370,608 (1999 sensa).