Tofauti kati ya marekesbisho "David Beckham"

1,575 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
'''David Robert Beckham''' (alizaliwa [[2 Mei]] [[1975]] ni [[Mwingereza]] maarufu kama [[mchezaji]] wa zamani wa [[soka]]. Kwa sasa ni raisi wa klabu ya Inter Miami CF.
 
Alicheza timu za [[Manchester United]], [[Preston North End]], [[Real Madrid]], [[Milan]], [[LA Galaxy]], [[Paris Saint-Germain]] na [[timu ya taifa]] ya [[Uingereza]] ambayo alifanya rekodi ya mchezaji wa nje mpaka 2016 wakati Wayne Rooney alipozidi jumla yake.
 
Yeye ndiye mchezaji wa Kiingereza wa kwanza kushinda mataji ya ligi katika nchi nne tofauti : England[[Uingereza]], Hispania[[Uhispania]], Marekani[[Ufaransa]] na Ufaransa[[Marekani]].
 
Alitangaza kustaafu mwezi Mei 2013 baada ya kazi ya miaka 20, wakati ambapo alishinda mataji 19 makubwa. Alijulikana kwa njia yake kama [[winga]] wa kulia, Beckham alikuwa mshiriki katika Ballon d'Or, aliyekimbia mara mbili kwa Mchezaji wa Dunia wa FIFA na mwaka [[2004]] aliitwa na Pelé katika orodha ya FIFA 100 ya wachezaji wanapofatiliawanapofuatilia zaidi soka Aliingizwa kwenye Hifadhi ya Soka ya Familia ya Uingereza mwaka 2008. Balozi wa kimataifa wa michezo, Beckham anaonekana katika utamaduni wa Uingereza.
 
Aliingizwa kwenye Hifadhi ya Soka ya Familia ya Uingereza mwaka 2008. Balozi wa kimataifa wa michezo, Beckham anaonekana katika utamaduni wa Uingereza.
{{mbegu-mtu}}
 
Anajulikana kwa uwezo mzuri wa kupiga pasi,krosi na friikiki ziliyojikunja kama winga wa kulia,[[Beckam]] alikuwa akiwania tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa mara mbili na mwaka 2004 alitajwa na [[Pelé]] kwenye kikosi cha wachezaji bora kuwahi kutokea walio hai (FIFA 100).
 
Uchezaji wake rasmi ulianza akiwa na klabu ya [[Manchester united]],alibeba mataji sita ya ligi kuu ya [[Uingereza]] (EPL) kombe la FA mara mbili,na taji la ligi ya mabingwa [[Ulaya]] (UEFA Champions League) mwaka 1999.Alihamia kwenye klabu ya [[Real Madrid]] Na kuitumikia kwa misimu minne akibeba taji la [[La Liga]] katika msimu wake mwisho.Julai 2007 alisaini mkataba wa kuitumikia klabu ya [[La Galaxy]].Akiwa huko,alienda [[Milan]] kwa mkopo kwa miaka miwili 2009 2010.Alikuwa mchezaji wa kwanza wa kiingereza kucheza michezo 100 ya ligi ya mabingwa ulaya.
 
Kimataifa, Beckam alianza kuitumikia timu yake ya taifa ya [[Uingereza]] mwaka 1996. Alikuwa nahodha wa timu hiyo kwa miaka sita akishiriki katika michuano ya [[kombe la dunia]] mara nne 1998,2002,2006 na michuano ya [[Ulaya]] mara mbili 2000 na 2004.
 
[[Beckham]] ni miongoni mwa wachezaji matajiri zaidi,mwaka 2013 alitangazwa kuwa [[mchezaji]] anayelipwa zaidi.amemuoa Victoria Beckam tangu mwaka 1999 na wana watoto wanne. Alikuwa balozi wa [[UNICEF]] kwa [[Uingereza]] tangu mwaka 2005.Mwaka 2014 alikuwa miongoni mwa wawekezaji watakaoimiliki klabu ya [[Inter Miami CF]],ambapo mkataba wake utaanza mwaka 2020
 
{{mbegu-mtucheza-mpira}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1975]]