Tutuko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Updated URLs.
Tengua pitio 1047655 lililoandikwa na 71.193.190.159 (Majadiliano)
Tag: Undo
Mstari 22:
Kuna aina mbili za [[virusi]] vya hepesi simpleksi: aina ya 1 (HSV-1) na aina ya 2 (HSV-2).<ref name=CDC2014F/> HSV-1 kwa kawaida zaidi husababisha maambukizi ya mdomo huku HSV-2 kwa kawaida zaidi ikisababisha maambukizi ya viungo vya uzazi.<ref name=Bal2014/>
 
Husababishwa kwa kugusana moja kwa moja kwa [[Kiowevu|viowevu]] vya mwili au vidonda vya mtu aliyeambukizwa.<!-- <ref name=CDC2014F/> --> Kuenea bado kunaweza kutokea hata iwapo dalili hazipo.<!-- <ref name=CDC2014F/> --> Hepesi ya [[jenitalia]] imeainishwa kama maambukizi yanayoenezwa kupitia [[ngono]].<!-- <ref name=CDC2014F/> --> Yanaweza kuenezwa kwa mtoto mchanga wakati wa kuzaliwa.<ref name=CDC2014F/> Baada ya kuambukizwa, maambukizi husafirishwa kupitia [[nyuroni]] inayopitisha [[hisia]] hadi kwa [[seli]] za [[neva]], pale ambapo virusi hukaa kwa maisha yote.<ref name="Bal2014">{{cite journal|last1=Balasubramaniam|first1=R|last2=Kuperstein|first2=AS|last3=Stoopler|first3=ET|date=April 2014|title=Update on oral herpes virus infections.|url=https://angularcheilitisremedy.blogspot.com/|journal=Dental clinics of North America|date=April 2014|volume=58|issue=2|pages=265-80|pmid=24655522|via=}}</ref>
 
Visababishi vya kujirudia vinaweza kujumuisha: [[kupungua kwa utenda kazi wa kingamwili]], mafadhaiko na kupatana na [[jua]].<ref name="Saratani">{{cite journal |author=Elad S |title=A systematic review of viral infections associated with oral involvement in cancer patients: a spotlight on Herpesviridea |journal=Support Care Cancer |volume=18 |issue=8 |pages=993–1006 |date=August 2010 |pmid=20544224 |url=http://www.springerlink.com/content/g476114717852h80/ |doi=10.1007/s00520-010-0900-3 |author-separator=, |author2=Zadik Y |author3=Hewson I |display-authors=3 |last4=Hovan |first4=Allan |last5=Correa |first5=M. Elvira P. |last6=Logan |first6=Richard |last7=Elting |first7=Linda S. |last8=Spijkervet |first8=Fred K. L. |last9=Brennan |first9=Michael T.}}</ref><ref name=Bal2014/>