Mke wa Kurusi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 10:
==Jina==
Mke wa Kurusi ilijulikana kwa jina hili kwa miaka mingi na mabaharia Waswahili walioitumia kupata njia baharini wakati wa usiku.<ref>ling. Knappert 1993</ref>
Jina la Mke wa Kurusi lina sehemu mbili; “mke” ni kifupi cha mwanamke na “kurusi” linamaanisha “kiti” kutokana na jina la Kiarabu كرسي kursi. Jina lote ni tafsiri ya Kiarabu ذات الكرسي ''dhat al-kursi'' yani “Bibi wa kiti” ambayo tena ni tafsiri tu ya Kilatini “mulier sedis” yenye maana hiyihiyo. Yote inarejelea mitholojia ya [[Ugiriki ya Kale]] iliyoona hapa picha ya malkia maridadi Cassiopeia akikalia kiti chake cha kifalme. Cassiopeia alikuwa mke wa mfalme Kifausi (Cepheus) akajivunia kuwa yeye mwenyewe na binti yake Mara (Andromeda) ni wazuri kushinda mabinti wa Poseidon mungu wa bahari. Hapo Poseidon aliamua kumwadhibu kwa kutuma dubwana Kestusi dhidi yake. Cassiopeia pamoja na mumewe mfalme Kifausi waliamua kumtua binti Mara-(Andromeda) kama sadaka kwa Ketusi kwa kumfunga kwenye ufuko wa bahari ili aliwe na dubwana huyu lakini shujaa Farisi (Perseus) akaingia kati na kumwokoa. Baadaye wote waliinuliwa angani kama nyota <ref>ling. Allen, Star-Names and their Meanings uk, 117</ref> kwa hiyo tunaona Mke wa Kurusi (Cassiopeia) jirani na kundinyota za Kifausi na Mara, halafu Ketusi na Farisi aliyekuja kumwokoa Mara katika simulizi ya mitholojia..
 
Mke wa Kurusi ni kati ya kundinyota zilizotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK kwa jina Kassiopeia. Iko pia kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Cassiopeia. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Cas'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==
Kwa jumla kuna nyota 157 zenye uangavu unaoonekana wa 6.5 na zaidi (zinazoweza kutazamiwa kwa macho matupu) <ref>{{cite web|url=http://www.skyandtelescope.com/resources/darksky/3304011.html?page=1&c=y|title=The Bortle Dark-Sky Scale|last=Bortle|first=John E.|date=February 2001|work=[[Sky & Telescope]]|publisher=Sky Publishing Corporation|accessdate=6 June 2015}}</ref>